Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duka la Westgate lafunguliwa

Duka la Westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi hatimaye limefunguliwa miaka miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa Al shabaab.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Duka la kisasa la TIGO lafunguliwa mjini Kibaha

kbh6

Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo akikata utepe kuzindua rasmi Duka Jipya la Tigo lililopo Kibaha, wanaoshuhudia  kutoka kushoto ni Mmiliki wa Hotel ya Njuweni Yusuph S. Mfinanga, Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles na mwisho kulia ni Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya.

kbh10

Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Duka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Duka la Westgate kufunguliwa leo

Duka la westgate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linafungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka miwili tangu lishambuliwe

 

10 years ago

Michuzi

DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY LAFUNGULIWA RASMI NDANI YA DAR FREE MARKET JIJINI DAR

 Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige  akikata utepe katika ufunguzi wa ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi lililofunguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015 . kulia ni Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George. 
   Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George  akitoa ufafanuzi kwa Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige kuhusu bidhaa zilizopo kwenye duka la ZuRii...

 

5 years ago

Michuzi

OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Shindano la Nyama choma lafunguliwa

>Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Safari imetangaza rasmi uzinduzi wa shindano la uchomaji  nyama kwa mwaka huu wa 2014.

 

9 years ago

BBCSwahili

Eneo lililoshambuliwa Bangok lafunguliwa

Eneo takatifu ambalo lilishambuliwa siku ya Jumatatu katika mji mkuu wa Thailand Bangkok limefunguliwa tena

 

10 years ago

BBCSwahili

Soko la hisa la Ugiriki lafunguliwa

Soko la hisa nchini Ugiriki limefunguliwa muda mfupi uliopita, baada ya kufungwa kwa miezi mitano.

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MSAADA WA KISHERIA LAFUNGULIWA

Watu wenye uhitaji wa msaada wa sheria sasa wanaweza kupata huduma hiyo kwa kuingia mtandaoni baada ya wakili mmoja Jijini Dar es Salaam kuanza kutoa huduma hiyo.
Wakili Emmanuel Augustino ameanza kuwafikia wahitaji wa msaada wa sheria kwa kutumia blog yake ya wakiliwangu.blogspot.com.
"Kupitia blog hii, tunatoa ushauri wa kisheria wa mambo yanayohusu mirathi, ununuzi au uuzaji wa ardhi, kesi za jinai na madai, kuanzisha kampuni na mambo mengine tofauti ya kisheria," alisema Wakili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daraja lililosombwa na mafuriko lafunguliwa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John  Magufuli, jana amefungua daraja lililosombwa na mafuriko  eneo la Dumila katika mto Mkundi, mkoani Morogoro, ili kunusuru uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani