Dulla Mbabe, Mapambano watambiana
Mabondia Abdallah Pazi na Imani Mapambano wametambiana kila mmoja akijinadi kutwaa ubingwa wa taifa wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC) katika pambano litakalofanyika Jumapili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
VideoMPYA: Dulla Makabila ana hii mpya “Kuingizwaâ€
Mkali wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ambaye amefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Haujaulamba’ leo March 24 2018 ameamua kutoa video mpya kwa mashabiki wake, Dulla Makabila leo ameaachia rasmi video ya ‘Kuingizwa’
Bofya PLAY
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Mkwassa, Maxime watambiana
Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwassa na mwenzake wa Mtibwa, Mecky Maxime wameanza kutambia kabla ya timu hizo kukutana kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Miss Tanzania watambiana
Warembo wa Miss Tanzania wameanza kutambiana huku kila mmoja akijinadi kufanya vizuri kwenye mashindano hayo ambayo yanafanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Makocha Azam, Yanga watambiana
Wakati kocha wa Azam, Stewart Hall akisema mifumo anayotumia na uimara wa kiuchezaji wa wachezaji wake ndiyo siri ya mafanikio yake, mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa timu yake ina kikosi imara zaidi pengine kushinda timu yoyote nchini.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga, Ruvu Shooting watambiana
>Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema msaidizi wake Charles Mkwasa amemkabidhi taarifa zote muhimu zinazohusu uimara na udhaifu wa Ruvu Shooting na kudai kuwa atazitumia kuvuna ushindi katika pambano baina yao.
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Watoto wa Wanamapinduzi watambiana kuwania Kiembesamaki
Wiki iliyopita mtoto wa muasisi wa ASP, Mansoor Yussuf Himid alitangaza kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuondolewa CCM kwa tuhuma za kukiuka maadili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxepGPe3FbGtGIYygjXJc2rjwqhiz5lZ1RcxCM7ilLd54yupoYimf4yr5gSgx*Qh4xxrdIFso85LLpa4tMOhD7oYw/1.jpg?width=650)
WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…
11 years ago
Michuzi14 May
MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA, KUPAMBANA MEI 24, 2014
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania