VideoMPYA: Dulla Makabila ana hii mpya “Kuingizwaâ€
Mkali wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ambaye amefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Haujaulamba’ leo March 24 2018 ameamua kutoa video mpya kwa mashabiki wake, Dulla Makabila leo ameaachia rasmi video ya ‘Kuingizwa’
Bofya PLAY
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
VideoMPYA: Beka Flavour anakuletea hii nyingine ya kuitazama
Baada ya staa wa muziki wa Bongo Fleva Beka Flavour kuachia ngoma yake yakibenten na kufanya vizuri this time anakusogezea nyingine ya kuitazama “Noana kiza”akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo.
bofya PLAY kuitazama
10 years ago
Vijimambo29 Jan
WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA
![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/v/t1.0-9/s480x480/10952268_957101927641047_1520180902348101646_n.png?oh=9d7e121f928c054f9f2509296cbdc0fb&oe=555A38C7&__gda__=1431660577_976c3c7785f5494155fed41670e5072d)
10 years ago
Bongo Movies02 May
Riyama Ana Haya Kuhusu Picha Hii
“Duniani wawili wawili ndugu yetu hatupo nawe ila kuna wakaka umefanana nao Dah kazi ya Mungu haina makosa wakati kati Marehemu kanumba wa kushoto na kulia ni wakaka waliofanana na Marehemu kanumba
Mungu akurahamu akusamehe dhambi zako akuweke panapo stahili kwa bahati nzuri hawa nao ni wasanii wazuri tu mimi nawaombea muje kua kama Marehemu katika Kila kile alicho kua nacho na kuwa kioo chetu Ishallah ili muwe faraja kwetu sisi wasanii wenzake pia kwa wapenzi wa kazi zake tulimpenda ila...
10 years ago
Mwananchi16 Jul
Dulla Mbabe, Mapambano watambiana
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
VIJIMAMBO: Kwa Kauli Hii, Uwoja Ana Ujauzito?!!
Staa mrembo wa Bongo, Irene Uwoya amewaacha njia panda mashabiki wake baada ya kubandika picha mtandaoni akionekana yupo bafuni akiwa amejishika tumbo na kuiandikia maneno akiwatata mashabiki wamtajiae majina mazuri ya kike.
“Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....”- Uwoya aliandika.
Kauli hii ilizua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wakioji kama mrembo ambae ni mama wa mtoto mmoja kama anaujamzito au la, wengine walienda mbali zaidi wakisema kuwa inawezekana akawa ni mjauzito na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG9PAJjc7fDVlV40CAdl7JDDJqil*4qEDvUHciEsKLkQPKPGOe-XvxPJRgPOijEj4wbU6atCg4kT61GujEwj2zlV/7.jpg?width=650)
KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-HBTjuirbCEo/VXdHBmA1rII/AAAAAAAACAI/x9eL1r6A11Q/s72-c/david_beckham-759.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio)
Ishu ilianza kwenye mtandao wa Instagram ambapo Mr. Blue alipost kwamba amesikia kuna watu wanajiita simba akati yeye alijiita jina hilo kwa sababu ya style yake ya kuchana. Blue amesema hana kinyongo kwa kuigwa lakini aliona aweke wazi ili watu wajue kwamba anaigwa na wengi na anajivunia kwa kuwa mfano wa kuigwa… Kuhusu ishu ya […]
The post Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio) appeared first on...