Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dullayo asambaza ‘Makelele’

HATIMAYE mkali wa muziki wa Bongo fleva nchini, Abrahaman Kassembe ‘Dullayo’ amesambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Makelele’. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Dullayo alisema ameamua kuachia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Inabidi tuyapigie kelele haya makelele

Maisha yameshakuwa kelele tupu na kimya imeshakuwa bidhaa adimu hasa katika maeneo ya mijini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BALOZI GERTRUDE MONGELA: Mwanasiasa anayeifikishia ujumbe jamii bila makelele

KATIKA safu yetu tunawaletea Mwanamama Balozi Gertrude Mongella. Si kwamba tumekiuka msimamo wa safu hii wa kuwaibua wanawake wa pembezoni waliofanya makubwa na hawasikiki kwa kuwa Balozi Mongella, si mwanamke...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: YP ft Dullayo — Manyamanyama

Huu ni wimbo mpya wa marehemu wa YP aliyomshirikisha Dullayo uitwao ‘Manyamanyama’, producer ni Zest wa Plexity records.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Dullayo — Jitambue

Wimbo mpya kutoka kwa Dullayo unaitwa “Jitambue”

 

9 years ago

Bongo5

Video: Dullayo – Mazoea

Dullayo

Video mpya ya msanii wa bongo fleva Dullayo wimbo unaitwa “Mazoea”, Video imeongozwa na Pizzo Mtena.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dullayo ajivunia kipaji chake

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abrahaman Kasembe ‘Dullayo’, amesema anajivunia kipaji alichonacho kwani hakiwezi kuchuja kama inavyokuwa kwa wasanii wengine. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Dullayo alisema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani