Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dully: Sijapigiwa simu na promota

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’, amesema ni miaka miwili sasa hajapigiwa simu na promota yeyote nchini kwa ajili ya kufanya shoo. Dully alisema hayo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha

Usafiri wa ndege ndio usafiri wa hara zaidi, lakini kwa Dully Sykes ndio usafiri ambao anaouogopa na kuukwepa katika maisha yake kiasi cha kuwa tayari kukataa show ambayo itamlazimu kupanda ndege. “Sikurogwa wala nini ni tatizo tu linalowatokea watu wengi sio mimi pake yangu”. Dullysykes ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. Dully amesema promota […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Promota wa Diamond mbaroni

HILO

Na Mwandishi wetu

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumkamata Promota mwenye asili ya nchi ya Nigeria ambaye  ndiye  aliyesababisha fujo katika onyesho la  msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ zilizotokea  Agosti  30 mwaka huu  kwenye ukumbi wa Stuttgart nchini Ujerumani .

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka nchini Ujerumani  kilisema  kwamba  Jeshi la Polisi nchini humo kilisema hadi kieleweke kwani watamchukulia hatua kali ili iwe fundisho  kwa mapromota  kama huyo.

 Jumamosi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Promota wa Diamond mbaroni Ujerumani

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumtia mbaroni promota Awin Williams Akpomie, aliyeratibu shoo ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ iliyokuwa ifanyike Agosti 30, mjini Stuttgart na kushindwa kufanyika. Shoo...

 

9 years ago

Mwananchi

Promota akamribisha rasmi Rais Magufuli

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini, Jay Msangi amemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kuukumbuka mchezo huo ambao unashika nafasi ya pili kwa kupendwa na wengi nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Promota Kova ajitwisha pambano la Cheka, Brudov

Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia sasa litasimamiwa na promota mpya, Mussa Kova kutoka Kampuni ya Mawenzi Focus International Ltd baada ya aliyekuwa promota wa awali, Jay Msangi kueleza kujiondoa kuendelea kuliandaa pambano hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Promota Don King kumshuhudia Francis Cheka Dar

Promota maarufu wa ngumi za kulipwa duniani Donald ‘Don’ King maarufu zaidi kama Don King anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye pambano la Francis ‘SMG’ Cheka na Valery Brudov wa Russia.

 

10 years ago

GPL

VURUGU UJERUMANI, KUKAMATWA PROMOTA SIRI 7 ZAFICHUKA SHOO YA DIAMOND

Na Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya kutolewa kwa taarifa ya kukamatwa kwa promota aliyempeleka msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanya shoo aliyejulikana kwa jina la Awin Williams Akpomiemie, mwenye asili ya Kinigeria, nyuma ya sakata hili siri saba zimefichuka, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili. Mashabiki wenye gadhabu wakilizingira gari la Mbongo Fleva, 'Diamond Platinum'...

 

10 years ago

Bongo5

Promota wa show ya Diamond iliyosababisha fujo Ujerumani adai wawekezaji walimzunguka

Kampuni ya Britts Events iliyokuwa imeandaa show ya Diamond mjini Stuttgart, Ujerumani imetoa maelezo ya chanzo cha kutofanyika kwa show hiyo na pia kuzuka kwa fujo iliyosababisha uharibifu mkubwa kwenye ukumbi uliokuwa utumike. Mwenyekiti Mtendaji wa Britts Events, Awin Williams Akpomiemie Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina katika maelezo ambayo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani