Duni awazima wanaotaka serikali mbili
>Shamrashamra za wajumbe wanaounga mkono serikali tatu na mbili, nje ya Bunge jana, ziliendelea baada ya Mjumbe, Juma Duni Haji kutoa ufafanuzi wa kutetea serikali tatu na kuwavutia wajumbe, ambao walitoka ukumbi wa bunge wakimshangilia babu, babu, hawatuwezi hawatuwezi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]
11 years ago
Habarileo07 Apr
Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.
11 years ago
Habarileo16 Apr
Nape- Wanaotaka Serikali tatu waroho
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa wale wote wanaotaka Tanzania iingie katika mfumo wa Serikali tatu, ni waroho wa madaraka na wanajitengenezea njia ya kuwa viongozi hapo baadaye.
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Obama awazima wengi kwa kukutana na Ruto
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji
11 years ago
Habarileo13 Feb
Warioba: Serikali mbili zinakubalika
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano wa serikali mbili unawezekana, ilimradi kuwe na nchi moja.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Dk Shein:Serikali mbili muafaka
11 years ago
Habarileo26 Feb
Shibuda -Nataka serikali mbili
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema msimamo wake ni kuwapo kwa Serikali mbili, huku akisisitiza kuwa ilipaswa wajumbe wa bunge hilo wapewe elimu ya ufahamu ya kazi yao.