Nape- Wanaotaka Serikali tatu waroho
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa wale wote wanaotaka Tanzania iingie katika mfumo wa Serikali tatu, ni waroho wa madaraka na wanajitengenezea njia ya kuwa viongozi hapo baadaye.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Nape; Wanaotaka urais CCM, wapambe wao wanaoneza taarifa za uongo kuadhibiwa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka wanaotaka kuwania urais kupitia CCM na wapambe wao kuacha kueneza taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kwamba atakayebainika kufanya hivyo atachukulia hatua kali za kinidhamu.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi uliofanyika katika Ofisi...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Duni awazima wanaotaka serikali mbili
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VbvHliDwf9Y/XvCLcoqzc7I/AAAAAAALu6c/lldVMfArMtQUMaBhkjrr1kLtpuN8B0ZtACLcBGAsYHQ/s72-c/18.jpg)
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Risasi zawatawanya ‘waroho’ wa mafuta
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Makamba awananga waroho wa vyeo
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-UnoFIYI2u3o/VQGsru18U1I/AAAAAAAAB9o/WfGZhwhH93w/s72-c/MM%2B3.jpg)
Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape
WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.
![](http://2.bp.blogspot.com/-UnoFIYI2u3o/VQGsru18U1I/AAAAAAAAB9o/WfGZhwhH93w/s1600/MM%2B3.jpg)
Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...
11 years ago
Habarileo31 Dec
‘Ni serikali tatu’
MUUNDO wa serikali tatu umeendelea kuwa ndani ya Rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa jana kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na ambacho Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema ndiyo itakuwa suluhu ya malalamiko juu ya kero za Muungano.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-eXBizGV5koI/VJBHD60O5hI/AAAAAAACwhI/g7iLPxQwbCQ/s72-c/5.jpg)
NAPE: WALIOVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAADHIBIWE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-eXBizGV5koI/VJBHD60O5hI/AAAAAAACwhI/g7iLPxQwbCQ/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0jbhjjgtoZg/VJBKQLT4GbI/AAAAAAACwhQ/VF2b8yzPAXk/s1600/4.jpg)