Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba awananga waroho wa vyeo

Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema baadhi ya wanasiasa wanaokimbilia CCM kwa ajili ya kutafuta vyeo au kujipatia umaarufu, wamekosea njia kwa kuwa chama hicho kinafanya kazi za wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Risasi zawatawanya ‘waroho’ wa mafuta

Ilikuwa ni hekaheka, patashika nguo kuchanika, wakati risasi na mabomu ya machozi ziliporindima kutoka kwa Jeshi la Polisi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye lori la mafuta aina ya scania lililopata ajali.

 

11 years ago

Habarileo

Nape- Wanaotaka Serikali tatu waroho

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa wale wote wanaotaka Tanzania iingie katika mfumo wa Serikali tatu, ni waroho wa madaraka na wanajitengenezea njia ya kuwa viongozi hapo baadaye.

 

9 years ago

Mtanzania

JK awananga Ukawa

5NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameunanga Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) kwa kusema mgombea wao ameshindwa kuhutubia mikutano mbalimbali ya kampeni licha
ya kutumia usafiri wa helikopta.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana wakati CCM ilipofunga kampeni zake katika Viwanja vya Jangwani.
Kikwete aliyepanda jukwaani saa tisa alasiri, alisema mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli, ametumia usafiri wa gari...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamani awananga wanaobeza kilimo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani amesema sekta ya kilimo na ufugaji iko kwenye wakati mgumu kutokana na wasomi wengi wa sekta hizo kuacha kujishughulisha nazo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu,...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Nchimbi awananga wanaobeza uteuzi wa Ma - DC

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi amewashukia wanaodai kuwa wakuu wapya wa wilaya walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni, ni matumizi mabaya ya fedha za Serikali.

 

11 years ago

GPL

SHAMSA AWANANGA MASTAA WANAOJIONA

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema wasanii wengi wenye majina makubwa wamekuwa wakiringia umaarufu wao na kuwadharau wengine jambo ambalo halina manufaa zaidi ya kuwashushia heshima. Msanii wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford. Akipiga stori na paparazi wetu, alisema kuna wasanii ambao ‘wametoka’ huwaonyesha dharau wenzao kwa kujivunia kujulikana kwao mbele ya jamii.… ...

 

10 years ago

Mtanzania

Nape awananga Red Brigade wa Chadema

NAPE NA ELIYA MBONEA, MPWAPWA
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye amerusha kombora kwa Chama cha Demokrasia na Maendekeo (CHADEMA) akidai makundi ya vijana wa ulinzi vya chama hicho (Red Brigade) yameandaliwa kwa ajili ya kuingia msituni kwa shughuli za ugaidi.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Mpwapwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, inayoendelea mkoani Dodoma.
“CHADEMA wanaandaa vijana kupitia Red Brigade ili kuingia msituni na kuchukua madaraka ya nchi kwa...

 

10 years ago

GPL

ESHE AWANANGA MASTAA BONGO MOVIE

Stori: Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo,  Eshe Buheti ameibuka na kuwananga mastaa wa kike waliobaki kwenye Kundi la Bongo Movie Unity kuwa hawajielewi na kazi yao ni majungu tu.Akistorisha na Risasi Jumamosi, Eshe alisema kuwa imefikia hatua baadhi ya wasanii hao hawasalimiani wanapokutana misibani kisa ni yeye kujitoa kwenye kundi, kituambacho haoni kama kina tija. Staa wa filamu za Kibongo,  Eshe Buheti. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani