Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape; Wanaotaka urais CCM, wapambe wao wanaoneza taarifa za uongo kuadhibiwa

IMG_7140

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka wanaotaka kuwania urais kupitia CCM na wapambe wao kuacha kueneza taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kwamba atakayebainika kufanya hivyo atachukulia hatua kali za kinidhamu.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi uliofanyika katika Ofisi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CCM HAITARUHUSU WANUNUA URAIS 2015 WAPAMBE WAO WANAOENEZA TAARIFA ZA UONGO KUADHIBIWA

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg, Nape Mnauye, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanziba.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar juu ya ratiba ya mchakato wa kupata wagombea ndani ya chama katika uchaguzi ujao na kikao cha kamati ndogo ya maadili ya CCM iliyofanya kikao chake jana na...

 

5 years ago

Michuzi

MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume wapambe.Je wewe ni mmoja wao?

Kumekuwa na hii kasumba ya wanaume kujipamba kuhu sekta ya urembo ikiendelea kukuwa sio duniani kote tu bali mabadiliko mengi yanashuhudiwa Afrika

 

11 years ago

Habarileo

Nape- Wanaotaka Serikali tatu waroho

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimebainisha kuwa wale wote wanaotaka Tanzania iingie katika mfumo wa Serikali tatu, ni waroho wa madaraka na wanajitengenezea njia ya kuwa viongozi hapo baadaye.

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu

A

MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.

AA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.

> . Asema wanapoteza muda na pesa zao

>. Awataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wanaotaka uongozi wanaukana ushirika wao na wazee?

KIASI cha kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Bukoba. Nikaenda sehemu inaitwa Bukoba Club kutafuta mlo wa mchana. Wakati nikisubiri mlo wangu, alikuja mtoto mmoja mvulana aliyeniambia ana miaka kumi...

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais

Tangu Agosti 22 hadi leo, tumesikia mambo mengi kutoka kwa wagombea uongozi wa ngazi mbalimbali ambao mwaka huu wamenuia kuingia madarakani.Tumewasikia wapambe wao, wengi ambao baadhi ya nyakati unaweza kujiuliza hivi wamelishwa au kunyweshwa nini mwaka huu hadi wanatujia  kwa jinsi walivyo, hasa pale wanapopanda kwenye majukwaa ili kuwanadi wagombea hao wanaowapenda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani