CCM HAITARUHUSU WANUNUA URAIS 2015 WAPAMBE WAO WANAOENEZA TAARIFA ZA UONGO KUADHIBIWA
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg, Nape Mnauye, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanziba.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar juu ya ratiba ya mchakato wa kupata wagombea ndani ya chama katika uchaguzi ujao na kikao cha kamati ndogo ya maadili ya CCM iliyofanya kikao chake jana na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Nape; Wanaotaka urais CCM, wapambe wao wanaoneza taarifa za uongo kuadhibiwa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka wanaotaka kuwania urais kupitia CCM na wapambe wao kuacha kueneza taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kwamba atakayebainika kufanya hivyo atachukulia hatua kali za kinidhamu.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi uliofanyika katika Ofisi...
10 years ago
Dewji Blog20 Jan
NAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu
MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM katika jamii, kwnye semina ya wachungaji wa kanisa hilo wa ndani na nje ya Tanzania, inayoendelea Kibahaka mkoa wa Pwani. Watatu kulia ni Mama Eliakunda Mwingira.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitoa mada kwenye semina hiyo.
> . Asema wanapoteza muda na pesa zao
>. Awataka...
11 years ago
Habarileo15 Sep
Wassira alia na wanaoeneza uongo
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wassira ametaka Watanzania kutokubali kudanganywa na watu wanaopita kwenye maeneo yao wakieneza uongo kwamba Serikali haijafanya maendeleo.
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Wanaume wapambe.Je wewe ni mmoja wao?
10 years ago
Mwananchi28 Sep
VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais
10 years ago
Vijimambo12 Oct
Taarifa juu ya midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 12, 2015

Kwa sasa mashirika ya CEO Roundtable Tanzania, Tanzania Media Foundation (TMF), Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), na Twaweza wameungana katika kuendeleza juhudi za kufanikisha...
10 years ago
MichuziPolisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).
9 years ago
Habarileo07 Nov
Taarifa za uongo Whatsapp zawapandisha kizimbani
WATU wanne wakiwemo ndugu watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp, kuwa nchi inaingia kwenye machafuko wakati wa uchaguzi.