Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wanaotaka uongozi wanaukana ushirika wao na wazee?

KIASI cha kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Bukoba. Nikaenda sehemu inaitwa Bukoba Club kutafuta mlo wa mchana. Wakati nikisubiri mlo wangu, alikuja mtoto mmoja mvulana aliyeniambia ana miaka kumi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda: Kataeni wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nape; Wanaotaka urais CCM, wapambe wao wanaoneza taarifa za uongo kuadhibiwa

IMG_7140

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka wanaotaka kuwania urais kupitia CCM na wapambe wao kuacha kueneza taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kwamba atakayebainika kufanya hivyo atachukulia hatua kali za kinidhamu.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisisitiza jambo katika mkutano huo na waandishi uliofanyika katika Ofisi...

 

11 years ago

Habarileo

Wanasiasa,watawala kuondolewa uongozi Ushirika

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imetoa waraka wa kuwaondoa viongozi wa siasa na serikali katika uongozi wa vyama vya ushirika katika ngazi zote ili kuondoa migogoro ya kimaslahi.

 

5 years ago

CCM Blog

BALOZI SEIF ALI IDDI: POKEENI FEDHA ZA WANAOTAKA KUNUNUA UONGOZI NDANI YA CCM

   SALVATORY NTANDUMkamo wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Alli Idd amewataka viongozi wa ngazi za matawi,kata,wilaya na Mikoa kuzipokea fedha zinazotolewa na baadhi ya watia nia wanaotaka uongozi ndani ya Chama cha mapinduzi(CCM) mkoani shinyanga na kuwafichua kwa vyombo vya usalama ili wachukuliwe hatua Kali za kisheria.
Kauli hiyo ameitoa Julai 26 mwaka huu wilayani Kahama mkoani Shinyanga katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo akiwa ni mlezi wa CCM mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU

  Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (Chadema) na Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini  Yosepher Komba  akizungumza na washiriki wa semina maalumu kwa wasichana mkoani Tanga  iliyoandaliwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali la Wanawake na Uongozi yenye makao makuu yake Jijini Dar es Saalam
 Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia Chama hicho Yosepher Komba akiwa na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:Vijana tugutuke (Muamko wa vijana kushika uongozi — Pemba)

Salma Said:

The post Sauti:Vijana tugutuke (Muamko wa vijana kushika uongozi – Pemba) appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

JKT YATANGAZIA VIJANA WA KUJITOLEA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2015

Vijana wa kiwa wkwenye gwaride wakatiwa mafunzo ya JKT. 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga ametangaza kuwa vijana wote wanaotaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka 2015, wasidanganyike kwa kupatiwa fomu za kujiunga na mafunzo hayo hivi sasa, na badala yake wafuate utaratibu huu hapa chini.
Bofya hapa

 

9 years ago

Mtanzania

Watoto wa wanamuziki wa zamani walilia haki za wazee wao

mtoto wa mwanamuziki wa zamaniNA JANETH MAPUNDA (MSPS)

BAADHI ya watoto wa wanamuziki wa zamani wameibuka na kudai kwamba wamesikitishwa na mitandao mbalimbali inayouza nyimbo za wazazi wao bila kuwa na makubaliano na familia zao.

Mmoja wa watoto hao akimwakilisha msanii Kassim Njohole aliyekuwa akipiga katika bendi ya ‘Njohole Jazz Band’, Hassan Kassim Njohole maarufu ‘Hanjo Hassan, aliliambia MTANZANIA kwamba familia zao zinashangazwa kuona mitandano ya ndani na nje ya nchi ikiuza nyimbo za wazazi wao bila familia...

 

11 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Watanzania nchini Malaysia yapata Uongozi wao

Jumamosi ya tarehe 29 March 2014, watanzania waishio na wasomao Malaysia walikutana katika Ubalozi wa Tanzania na kuunda Jumuiya mpya ya Watanzania wanaoishi South East Asia.
Uongozi wa Wana Jumuiya hiyo ambao kwa kuanzia ni Watanzania waliopo Malaysia wakiwa na Balozi Mpya wa Tanzania,Dr. Aziz Ponary Mlima (katikati) na maafisa wa Ubalozi. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Katibu Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Jamiii, Utamaduni na Starehe ikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani