Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wa wanamuziki wa zamani walilia haki za wazee wao

mtoto wa mwanamuziki wa zamaniNA JANETH MAPUNDA (MSPS)

BAADHI ya watoto wa wanamuziki wa zamani wameibuka na kudai kwamba wamesikitishwa na mitandao mbalimbali inayouza nyimbo za wazazi wao bila kuwa na makubaliano na familia zao.

Mmoja wa watoto hao akimwakilisha msanii Kassim Njohole aliyekuwa akipiga katika bendi ya ‘Njohole Jazz Band’, Hassan Kassim Njohole maarufu ‘Hanjo Hassan, aliliambia MTANZANIA kwamba familia zao zinashangazwa kuona mitandano ya ndani na nje ya nchi ikiuza nyimbo za wazazi wao bila familia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Raia wa Congo waenzi wanamuziki wao

Raia wa Congo wamkumbuka Franco Luambo Makiadi

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je kutupa picha za mpenzi wa zamani ni haki ?

Nchini Uganda picha za utupu za mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na magazetini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wanahitaji haki wanayostahili

“KESHO Juni 15 ni siku ya Kupambana na Manyanyaso na Dhuluma ya Wazee Ulimwenguni… hivyo tusiwahukumu wazee katika hali ya kutojielewa kwa kuwaua kwa kuhisi ni wachawi.” Hayo ni maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wanaotaka uongozi wanaukana ushirika wao na wazee?

KIASI cha kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Bukoba. Nikaenda sehemu inaitwa Bukoba Club kutafuta mlo wa mchana. Wakati nikisubiri mlo wangu, alikuja mtoto mmoja mvulana aliyeniambia ana miaka kumi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utetezi haki za wazee kugharimu mil. 828/-

SHIRIKA la Kimataifa la Help Age Tanzania kwa kushirikiana na Help Age Germany na Wizara ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Ujerumani (BMZ), wanatarajia kutumia zaidi ya sh milioni 828.7 kufanikisha...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMTAKA KILA MWANAJAMII KUTAMBUA HAKI ZA WAZEE NA KUWATHAMINI

Na Magreth Kinabo –maelezo30/09/2015Serikali   imemtaka kila mwanajamii kutafakari haki ambazo wazee wanastahili na kuweka mipango ya makusudi katika kuwawezesha kuzipata haki hizo.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt, Donan Mmbando (Pichani) kupitia tamko  la wizara hiyo kuhusu maadhimisho  ya siku ya kimataifa ya wazee duniani itakayofanyika kesho  Oktoba Mosi ,mwaka huu wilayani Kasulu mkoani  Kigoma.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Sera zisizotekelezwa zawatesa wazee, watoto’

SHIRIKA la Twaweza limesema wazee na watoto ndio waathirika wakubwa wa sera za serikali ambazo hazitekelezwi. Hayo yalibainisha jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa shirika hilo Rakesh Rajani, alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani