Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dunia “iifundishe” ustaarabu Marekani

DUNIA haipaswi kufumbia macho matukio yanayoendelea kutokea nchini Marekani.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ustaarabu wa ajabu

Hivi hawa wanaokula laki tatu za kanuni wiki hadi wiki wametambua kweli jinsi watu walivyokasirika?

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki wa Yanga wamekosa ustaarabu

Naingia uwanjani kwa mara nyingine katika kona hii ya hoja. Ninaamini kila mmoja yuko katika mchakamchaka kwa nafasi yake katika eneo lake, kwa raha na shida.

 

10 years ago

Habarileo

Wanasiasa washauriwa kampeni zenye ustaarabu

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuendesha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa amani na kuepuka maneno ya uchochezi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yairejesha ZNZ katika ustaarabu

Ujio wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na mageuzi ya hali ya siasa ni moja kati ya mambo ambayo leo yameifanya Zanzibar na watu wake kuwapo katika ramani ya mwelekeo wa kilele cha demokrasia si tu Afrika, bali kuzishinda hata nchi za Ulaya ambazo baadhi yake demokrasia inasuasua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia

Marekani imekata tiketi kucheza fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Ujerumani 2-0 katika mchezo wa nusu fainali

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.

 

5 years ago

CCM Blog

CORONA MAREKANI NDANI YA MASAA 24 WATU 4591 WAFARIKI DUNIA

  Chuo Kikuu cha Johns Hopkins nchini Marekani kimetangaza kuwa karibu watu 4,591 wamefariki dunia katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita kutokana na virusi vya Corona na hivyo kufanya idadi ya waliokufa kwa ugonjwa huo nchini Marekani kufika 34,641.


Aidha taarifa mpya iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins imesema kuwa katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita karibu watu elfu 30 wengine wameambukizwa virusi vya Corona nchini humo. 

 

11 years ago

Michuzi

DAKIKA 90 ZA DUNIA. Mauaji kwenye kambi ya jeshi Fort Hood MAREKANI

Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi huko Fort Hood, Texas. Jumatano Aprili 2, askari mmoja wa Jeshi la nchi hiyo, Ivan Lopez ambaye inasemekana alikuwa na matatizo ya msongo wa mawazo, aliwafyatulia risasi na kuwaua wanajeshi wenzake 3, kujeruhi 16 kabla hajajigeuzia bastola na kujiua Mauaji haya, yanarejesha kumbukumbu ya mauaji makubwa kabisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani