Wanasiasa washauriwa kampeni zenye ustaarabu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuendesha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa amani na kuepuka maneno ya uchochezi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV10 Sep
Polisi Mwanza yahimiza wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limetoa angalizo kwa wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu na kujiepusha na vitendo vitakavyoashiria uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kuwatia hofu wananchi.
Hali hiyo inaweza kusababisha wananchi kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura.
Onyo hilo limetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo katika kampeni ya jeshi la Polisi yenye lengo la kuhamasisha amani mkoani Mwanza.
Pia Kamanda Mkumbo...
10 years ago
StarTV22 Aug
Wanasiasa wapigwa marufuku kutumia maeneo ya shule kupiga kampeni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime na msimamizi wa uchaguzi Venance Mwamengo amevitaka vyama vya siasa kuacha kutumia maeneo ya shule na vyuo kuendesha mikutano yao ya kampeni ili kuepuka kuvuruga masomo kwa wanafunzi husika.
Amesema hayo wakati mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko alipochukua fomu ya kuwania ubunge.
Mwamengo amesema kwamba hata ruhusu ratiba ya chama chochote cha siasa, kuendesha mikutano yao ya kampeni katika maeneo ya taasisi yoyote ya...
9 years ago
StarTV03 Dec
Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.
Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU TAMISEMI AWAASA WANASIASA,WAGOMBEA NA WASHABIKI KUENDESHA KAMPENI KWA AMANI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Ustaarabu wa ajabu
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Dunia “iifundishe†ustaarabu Marekani
DUNIA haipaswi kufumbia macho matukio yanayoendelea kutokea nchini Marekani.
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Mashabiki wa Yanga wamekosa ustaarabu
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Serikali ya Umoja wa Kitaifa yairejesha ZNZ katika ustaarabu