Dunia yamuaga Tata Mandela
Viongozi, familia na marafiki wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Nelson Mandela katika mazishi yake ya kitaifa katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Cape Mashariki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kwaheri Tata Mandela
Karibu watu 4,500 walifika kwenye mazishi hayo ikiwemo familia, jamaa, marafiki na viongozi wa dunia kijijini Qunu ambako Mandela alikulia.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Tata Mandela arejeshwa kwao Qunu leo
Mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela unasafirishwa leo kurejeshwa kwake Kijiji cha Qunu, zikiwa ni saa 24 kabla ya kuanza kwa ibada ya mwisho ya mazishi ya kiongozi huyo yatakayofanyika kesho.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcr4HNrkKJFVJiKG3vxoNe9DyjLEoQ-y8sJQB66QV1wiOxu5xAXm2OVRzvKbBJwZ0Bz340nIUzklspn9xlsEtw5u/madiba.jpg?width=650)
MAZISHI YA MANDELA, DUNIA KIMYA
Stori: Oscar Ndauka na Ojuku Abraham
DUNIA ipo kimya wakati maandalizi ya kuupumzisha kaburini mwili wa aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela yakiendelea katika miji ya Johannesburg, Pretoria na kijijini Qunu, Mkoa wa Mthatha jimboni Eastern Cape atakozikwa kijijini atakakozikwa. UKIMYA WATANDA KWENYE TELEVISHENI
Ukimya uliendelea kutawala juzi na jana katika miji mbalimbali duniani, watu...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Dunia yaadhimisha Siku ya Mandela
KATIKA kutambua na kukumbuka mchango wa aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela, dunia imeadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza tangu kifo chake. Katika...
11 years ago
BBCSwahili08 Dec
Dunia wazidi kumkumbuka Mandela
Watu mbalimbali duniani wameendelea kumwelezea Nelson Mandela alikuwa mtu wa namna gani na harakati zake za ukombozi
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Dunia yamkumbuka hayati Mandela
Hii leo ni siku ya kimataifa ya kusherehekea maisha ya hayati Nelson Mandela.Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya shughuli mbali mbali za kijamii kumkumbuka
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Dunia imempa Mandela heshima anayostahili
RAIS wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela alizikwa jana Jumapili kijijini kwake, Qunu kwa heshima zote za kitaifa, kimataifa na kimila.
11 years ago
BBCSwahili06 Dec
Dunia yaomboleza kifo cha Mandela
Viongozi wa dunia pamoja na wananchi wamejitokeza katika sehemu nyingi duniani pamoja na Afrika Kusini wakiomboleza kifo cha kiongozi wao Mandela
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania