Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake …

December 14 ni siku ambayo Ligi Kuu ya Uingereza iliendelea tena ambapo moja kati ya mechi zilizochezwa ni ile ya Leicester City dhidi ya Chelsea. Mchezo huo uliyochezwa kwenye uwanja wa King Power ulimalizika kwa Chelsea kufungwa goli 2-1, matokeo yaliyoifanya Chelsea kufikisha jumla ya mechi 9 ilizofungwa katika mechi 16 walizocheza msimu huu. Matokeo […]

The post Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya kipigo cha Leicester, Mourinho ahisi kusalitiwa

1408806899769_wps_5_Chelsea_s_manager_Jose_Mo

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho (pichani) amesema anahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji wake baada ya kupata kipigo cha goli 2 kwa 1 kutoka kwa Leicester City.

Mourinho alisema ilikuwa ni sahihi kwa Leicester kuwafunga kutokana na kuwatawala kwa kipindi kikubwa cha mchezo huo huku timu yake ikionekana kucheza vizuri kwa dakika za 25 za mwanzoni na kuwafanya kuwa katika wakati mgumu kupata matokeo mazuri.

Aliongeza kuwa aamahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji...

 

10 years ago

GPL

JE, UPO USALITI WA KUVUMILIA KWA MPENZI?

Ni matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi na leo nataka kuzungumzia usaliti katika sura ya tofauti.Nimefikia uamuzi wa kuandika juu ya hili kutokana na ushuhuda nilioupata kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina la Ashura mkazi wa Arusha. Ni ushuhuda wa kusikitisha sana lakini una funzo ndani yake kwa wanandoa na wapenzi wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio)

Headlines za wanasoka wa kibongo kuulizwa kuhusu lini watastaafu kucheza soka zimekuwa zikiandikwa sana mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari, alianza kusikika nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar Es Salaam Young African Nadir Haroub Canavaro kuwa kacheza kwa muda mrefu, hivyo lini atastaafu? Canavaro kupitia gazeti la habari […]

The post Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Octopizzo hakudanganya tu kumshirikisha August Alsina, upo ushahidi hata wimbo ‘This Could Be Us’ ameuiba!

Rapper wa Kenya Octopizzo anazidi kuumbuka kutokana na wimbo wake wa ‘This Could Be us’ ambao hapo awali alidai kuwa amemshirikisha staa wa Marekani, August Alsina. Baada ya uongozi wa August kukanusha msanii wao hakushirikishwa kwenye wimbo huo, lilibaki fumbo la ile sauti kwenye ya kiitikio ni ya nani kama si muimbaji huyo wa Marekani, […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho awalaumu 'ball boys' kwa kipigo

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amelalama kuhusu upotezaji wa wakati baada ya timu yake kufungwa kwa mara ya kwanza

 

5 years ago

Michuzi

SIO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANAPIGWA WANANYANYASWA -RC MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. William Paul Ntinika akiwa katika picha ya pamoja na Msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia mara baada ya kuwasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,William Paul Ntinika akizungumza na vikundi vya wanawake wajisiriamali walijitokeza kuupokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ulipowasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Paul Ntinika pamoja na wasanii Shetta, G Nako na wawakilishi wa Msafara wa kijinsia wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Sio Mdomo tu Hata Mkono Nipo Gado- Wastara

Staa wa Bongo Movies Wastara Juma ame-share nasi picha hizi akiwa gym anafanya mazoezi huku akiandika maneno kuelezea kuwa yupo kwenye maandalizi ya filamu mpya inayofanyika chini ya kampuni  ya  WAJEY Film Company ambapo atakuja kivingine.

Hii ni mistari aliyondika kwenye picha hizo;

WAJEY Film Company Back Soon, New Project New Style

WAJEY, sio mdomo tu hta mkono upo gado

WAJEY....ila ninawashwa kumchapa mtu kichapo cha mbwa mwizi

Mdau, unautabiri vipi ujio huu wa Wastara kwenye...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-10

“Nilikwenda kufungua mlango, kumbe alikuwa mume wangu. Kwa kiasi fulani nilishtuka, maana kwa muda huo sikumtarajia kabisa. Hata yeye aliutambua mshtuko wangu, akaniuliza mbona nimeshtuka? Kabla sijajibu akaniuliza nimeanza lini tabia ya kufunga mlango mkubwa mchana? “Nilimjibu mshtuko wangu ni kwa sababu sikumtarajia muda huo nyumbani. Kuhusu mlango nilimwambia niliufunga ili majirani waone hakuna mtu. Kama ambavyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani