Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Sio Mdomo tu Hata Mkono Nipo Gado- Wastara

Staa wa Bongo Movies Wastara Juma ame-share nasi picha hizi akiwa gym anafanya mazoezi huku akiandika maneno kuelezea kuwa yupo kwenye maandalizi ya filamu mpya inayofanyika chini ya kampuni  ya  WAJEY Film Company ambapo atakuja kivingine.

Hii ni mistari aliyondika kwenye picha hizo;

WAJEY Film Company Back Soon, New Project New Style

WAJEY, sio mdomo tu hta mkono upo gado

WAJEY....ila ninawashwa kumchapa mtu kichapo cha mbwa mwizi

Mdau, unautabiri vipi ujio huu wa Wastara kwenye...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu:Kuwa Mama ni Heshima Sio Kuzeeka, Nipo Njiani

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “LULU” ameamua kufunguka na kusema mtazamo wake kuhusu swala la wasichana kuogopa/kukataa kuzaa kwakuofia kuwa watazeeka.

“Kwa akili Yangu ndogo... Nadhani kuwa Mzazi(Mama)ni heshima kubwa na Sio kuzeeka kama wasichana wengi wanavyofikiria....! Shout Out kwa Kila mwanamke aliyefanikisha kupata Heshima Hiyo...! Heshima kwa Mama wote Duniani ….Wengine Tuko njiani Inshallah”

Lulu aliweka bandiko hilo mtandaoni  baada yakuweka...

 

9 years ago

Bongo5

No Stress: Nipo vizuri sina tatizo la uzazi — asema Linah na kukanusha kuwa sio mjamzito

Linah

Linah Sanga amekanusha uvumi kuwa ana ujauzito na kuweka taarifa sawa kuhusu afya yake ya uzazi.

Linah

Mwimbaji huyo wa ‘No Stress’ amesema kuwa kwasasa anajipanga ndio maana hajaamua kupata mtoto lakini hiyo haimaanishi kuwa ana matatizo yoyote ya uzazi kama baadhi ya watu wanavyohisi.

“Mimi nipo vizuri bhanaa sina tatizo la uzazi ila huwa najipanga ndio maana watu hawajahi kuniona nina ujauzito, lakini kwa sasa najiachia sanaa hivyo muda wowote wanaweza kusikia jambo,” alisema Linah kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

SIO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANAPIGWA WANANYANYASWA -RC MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. William Paul Ntinika akiwa katika picha ya pamoja na Msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia mara baada ya kuwasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,William Paul Ntinika akizungumza na vikundi vya wanawake wajisiriamali walijitokeza kuupokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ulipowasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Paul Ntinika pamoja na wasanii Shetta, G Nako na wawakilishi wa Msafara wa kijinsia wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kakobe :Rose Muhando Sio Mlokole Hata Kidogo Anawakatisha Wanaume Viuno Stejini

Kiongozi wa Kanisa la Full Bible Gospel Fellowship, Askofu Zakaria Kakobe Amewalipua baadhi ya Wanasiasa na waimbaji wa Injili wanaotumia neno uokovu katika maisha yao wakati haipo hivyo...Askofu Kakobe aliyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake na kumtolea mfano Mwimbaji Rose Mhando na kusema hana sifa za ulokole kwa kuwa anawachezesha wanaume kwa kukata mauno kwenye nyimbo zake , Amesema "Hivi kweli mtu kama Rose Muhando unaweza sema ameokoka ..embu tuache utani na kumrudia Mungu...

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono

CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25.

 

9 years ago

MillardAyo

Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake …

December 14 ni siku ambayo Ligi Kuu ya Uingereza iliendelea tena ambapo moja kati ya mechi zilizochezwa ni ile ya Leicester City dhidi ya Chelsea. Mchezo huo uliyochezwa kwenye uwanja wa King Power ulimalizika kwa Chelsea kufungwa goli 2-1, matokeo yaliyoifanya Chelsea kufikisha jumla ya mechi 9 ilizofungwa katika mechi 16 walizocheza msimu huu. Matokeo […]

The post Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake … appeared first on...

 

11 years ago

Bongo5

Meninah: Diamond hata kumshika mkono sijawahi, akanusha tetesi za kutoka nae

Mara nyingi habari za mastaa hususan za mahusiano huanza kama tetesi, kisha hufuata hatua ya pili ambayo ni kukanusha, halafu baadae huja na majibu ya ‘mapenzi moto moto’. Narudia tena ‘mara nyingi’ japo si mara zote. Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ […]

 

10 years ago

Bongo5

Juma Nature: Wanawake wengi waongo, bado nipo nipo sana

Juma Nature amesema tabia ya uongo kwa wanawake wengi inamfanya asifikirie kuoa awe mgumu kuoa. Nature ambaye ni baba wa mtoto mmoja aitwaye Furaha, ameiambia Bongo5 kuwa anashidwa kufanya uchaguzi sahihi wa mwanamke kutokana na wanawake kuwa matapeli. “Suala la kuoa ni suala la kitaifa, siku mimi nikioa hata rais atajua Juma Nature anaoa, nikiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani