Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANAPIGWA WANANYANYASWA -RC MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. William Paul Ntinika akiwa katika picha ya pamoja na Msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia mara baada ya kuwasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,William Paul Ntinika akizungumza na vikundi vya wanawake wajisiriamali walijitokeza kuupokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ulipowasili mkoani hapo. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Paul Ntinika pamoja na wasanii Shetta, G Nako na wawakilishi wa Msafara wa kijinsia wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kakobe :Rose Muhando Sio Mlokole Hata Kidogo Anawakatisha Wanaume Viuno Stejini

Kiongozi wa Kanisa la Full Bible Gospel Fellowship, Askofu Zakaria Kakobe Amewalipua baadhi ya Wanasiasa na waimbaji wa Injili wanaotumia neno uokovu katika maisha yao wakati haipo hivyo...Askofu Kakobe aliyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake na kumtolea mfano Mwimbaji Rose Mhando na kusema hana sifa za ulokole kwa kuwa anawachezesha wanaume kwa kukata mauno kwenye nyimbo zake , Amesema "Hivi kweli mtu kama Rose Muhando unaweza sema ameokoka ..embu tuache utani na kumrudia Mungu...

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Sio Mdomo tu Hata Mkono Nipo Gado- Wastara

Staa wa Bongo Movies Wastara Juma ame-share nasi picha hizi akiwa gym anafanya mazoezi huku akiandika maneno kuelezea kuwa yupo kwenye maandalizi ya filamu mpya inayofanyika chini ya kampuni  ya  WAJEY Film Company ambapo atakuja kivingine.

Hii ni mistari aliyondika kwenye picha hizo;

WAJEY Film Company Back Soon, New Project New Style

WAJEY, sio mdomo tu hta mkono upo gado

WAJEY....ila ninawashwa kumchapa mtu kichapo cha mbwa mwizi

Mdau, unautabiri vipi ujio huu wa Wastara kwenye...

 

10 years ago

GPL

TIKO: SIJUI HATA IDADI YA WANAUME NILIOTOKA NAO

Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Stori: Gladness Mallya Leo mwandishi wetu Gladness Mallya amemnasa mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Unataka kujua ameulizwa maswali gani na akajibu vipi? Fuatilia hapa chini. Ijumaa: Wasanii wengi mna tabia ya kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, yaani yupo wa kukupa fedha, wa mapenzi na wa kujirusha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...

 

9 years ago

MillardAyo

Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake …

December 14 ni siku ambayo Ligi Kuu ya Uingereza iliendelea tena ambapo moja kati ya mechi zilizochezwa ni ile ya Leicester City dhidi ya Chelsea. Mchezo huo uliyochezwa kwenye uwanja wa King Power ulimalizika kwa Chelsea kufungwa goli 2-1, matokeo yaliyoifanya Chelsea kufikisha jumla ya mechi 9 ilizofungwa katika mechi 16 walizocheza msimu huu. Matokeo […]

The post Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho kataja wasaliti wake … appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

HATA WANAWAKE WANAWEZA KUANDIKA MIRATHI -WAKILI SUZANA SENSO

 WAKILI Suzana Senso akizungumza wakati akitoa mada  ya nafasi ya mwanamke kwenye urithi wa mirathi maadhimisho ya siku ya wanawake duniani  iliyofanyika kwenye viwanja vya Nkende Manispaa ya Musoma mjini iliyokuwa na kauli mbiu ya Kizazi cha Usawa kwa maendeleo ya Tanzania ya Sasa nay a Baadae MEZA Kuu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye maadhimisho hayo kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Taifa Gaudance Kabaka akifuatiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Caroline Matapula na  Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

'Wanaume waungeni mkono wanawake'

KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanaume wametakiwa kuwaunga mkono wanawake katika shughuli zao kwani kwa kufanya hivyo ni chachu ya kukuza uchumi na kuongeza maendeleo ya familia na hata ya taifa kwa ujumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani