Ebola inaenea kwa kasi ya kutisha
Shirika la afya duniani linasema kuwa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuenea kwa kasi ya kutisha na kuzua hofu Afrika Magharibi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Ebola inaenea kwa kasi nchini Liberia
10 years ago
Mwananchi03 Oct
UTAFITI : Ebola inaenea haraka zaidi kwa wanawake kuliko wanaume
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
WHO:Visa vya Ebola vimeongezeka kwa kasi
11 years ago
Mwananchi11 Jul
MAONI: Tuamke, Ebola imerudi kwa kasi kubwa
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Ebola yazidi kasi
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
UN:'Kasi ya Ebola inatisha'
10 years ago
GPLKWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nmbGK0k3vhY/VdOY4lYeXUI/AAAAAAAHyCk/QGTKocHoe44/s72-c/e1.jpg)
libeneke la zawadi kwa wenye stika za EFM 93.7 laendelea kwa kasi
![](http://2.bp.blogspot.com/-nmbGK0k3vhY/VdOY4lYeXUI/AAAAAAAHyCk/QGTKocHoe44/s640/e1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-I0_BQmAUmnY/VdOY4jUklII/AAAAAAAHyCo/t_GFEblvWbE/s640/e2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0OCg5nDpZG8/VdOY_LaRZoI/AAAAAAAHyC0/m5rAewFbnCY/s640/e3.jpg)
10 years ago
Zitto Kabwe, MB04 Jan
Kwanini Bei ya mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi?
Kwanini Bei ya mafuta kwa walaji haishuki kwa kasi?
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2012/12/ewuuu1.jpg)
EWURA
Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei ambayo ni karibia ile ile kwa miezi michache...