Ebola:Marekani yatoa mwongoza mpya
Maafisa wa afya wa Marekani wametoa mwongozo mpya juu ya kuwashughulikia matabibu wanaorudi Marekani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
10 years ago
GPLWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gqDLl_oyEAw/Xp4Ao_WCFYI/AAAAAAALnnY/JG6HuC1CwTIPo3YeH1P00IKAmrY_1ulhACLcBGAsYHQ/s72-c/0_PAY-MAIN-Gene-Deitch.jpg)
MWONGOZA VIBONZO VYA TOM NA JERRY AFARIKI DUNIA
MCHORAJI na mwongozaji wa vibonzo vya panya (Tom) na paka (Jerry) Eugene Merrill Deitch amefariki dunia ghafla akiwa na umri wa miaka 95 huko nyumbani kwake Prague mchapishaji wake Peter Himmel ameieleza The Associated Press.
Imeelezwa kuwa Eugene aliyezoeleka kuitwa Gene ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Oscar alifariki dunia ghafla siku ya Alhamisi usiku akiwa katika makazi yake.
Gene ameongoza sehemu zipatazo kumi na tatu za vibonzo vipendavyo na watoto ...
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Marekani yatoa tahadhari
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Canada yatoa Chanjo ya Ebola
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
Venezuela yatoa Masharti kwa Marekani
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Ebola:Malaysia yatoa glavu milioni 20
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Uchina yatoa msaada zaidi wa Ebola
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria