Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yatoa tahadhari

Serikali ya Marekani imetoa tahadhari ya kusafiri duniani kote kwa raia wake, ikiwaonya kuwepo kwa ongezeko la tishio la kigaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yatoa tahadhari

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limewataka wananchi kuacha tabia ya kujenga na kufanya biashara chini ya nyaya za umeme kwani ni hatari kwa maisha yao. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...

 

11 years ago

BBCSwahili

UG yatoa tahadhari kuhusu Al Shabaab

Uganda imetoa tahadhari kwamba kundi la wanamgambo la Al Shabaab linapanga kutumia malori ya mafuta kama mabomu katika mashambulizi yao nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hali ya Hewa yatoa tahadhari

MKURUGENZI wa Huduma za Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Hamza Kabelwa, ametoa tahadhari ya kuwepo mvua kubwa katika kipindi kinachoishia mwezi huu na Februari. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

TOC yatoa tahadhari kwa vyama

Dar es Salaam. Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) imesema itatoa mamlaka kamati yake ya Ufundi kuteua wachezaji watakaoiwakilisha nchi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola endapo vyama vya michezo vitashindwa kuwateua wachezaji wao wenye viwango hadi Jumamosi hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka

Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka ili kulinda maisha ya watu na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia fursa hiyo kufanya vitendo viovu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari  juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo  na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Tanzania Daima

Jumuiya ya Wazazi Rukwa yatoa tahadhari

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Rukwa, imekitaka chama hicho kuwa makini katika kutathimini uwezo na kukubalika kwao katika jamii wagombea wa nafasi mbalimbali katika chaguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

TBS yatoa tahadhari kwa waagizaji magari

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limetoa tahadhari kwa waagizaji wa magari kutoka Japan na Falme za Kiarabu kuzingatia sharti la ukaguzi wa magari husika kabla hawajayaingiza nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani