Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yatoa tahadhari kwa waagizaji magari

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limetoa tahadhari kwa waagizaji wa magari kutoka Japan na Falme za Kiarabu kuzingatia sharti la ukaguzi wa magari husika kabla hawajayaingiza nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TBS Yatoa Elimu kwa Wananchi zaidi ya 8000


Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limemaliza Kampeni yake ya kutoa elimu kwa umma katika wilaya za Mpanda, Rungwe na Ludewa kuhusiana na usajili wa majengo ya chakula na vipodozi, umuhimu wa kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ikiwamo muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa.
Kupitia kampeni hiyo maofisa wa shirika hilo walielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora na TBS.
Kampeni hiyo ya elimu kwa umma imefanyika katika wilaya hizo...

 

11 years ago

Mwananchi

TOC yatoa tahadhari kwa vyama

Dar es Salaam. Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) imesema itatoa mamlaka kamati yake ya Ufundi kuteua wachezaji watakaoiwakilisha nchi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola endapo vyama vya michezo vitashindwa kuwateua wachezaji wao wenye viwango hadi Jumamosi hii.

 

5 years ago

Michuzi

TMA yatoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu wa Mvua za Masika

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA )imetoa utabir wake wa Mvua  za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo  zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.

Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo  Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya  ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.

Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...

 

9 years ago

Michuzi

TFDA YATOA TAHADHARI YA KUWEPO KWA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VILIVYOPIGWA MARUFUKU NA SERIKALI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya TFDA Dar es Salaam leo, wakati akitoa tahadhari ya uwepo katika soko wa vipodozi vyenye viambato vilivyopigwa marufuku na Serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu. Mkurugenzi wa Dawa  na Bidhaa Nyongeza, Fimbo Mitangu (kushoto), akizungumza katika mkutano huo huku akionesha moja ya kopo lenye kipodozi vilivyopigwa...

 

11 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yatoa Msaada wa Magari ya Kiusalama kwa Polisi Arusha

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Mauaji ya Halaiki ya Rwanda (UN-ICTR) iliyo na makao yake makuu mjini Arusha leo imetoa msaada wa magari mawili ya kiusalama (Amoured Cars) kwa jeshi la polisi mkoani Arusha ili kuimarisha shughuli zake za kiusalama mkoani hapo. 
Magari hayo ni baadhi ya yale yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za usalama kubebea watuhumiwa au watu nyeti,na mahakama hiyo inatarajiwa kumaliza shughuli zake mwakani. 
Magari hayo ni yale yaliyoimarishwa kiusalama...

 

11 years ago

Michuzi

JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya makabidhiano ya magari hayo kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika majukumu yake ya kuzima moto na uokoaji nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Kituo cha Zimamoto Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani