Ebola:Wanasoka mahiri kusaidia WHO
Chiristiano Ronaldo wa Real Madrid, Neymar wa Barcelona, Didier Drogba wa Chelsea na Philip Lahm wa Bayern Munich waunga mkono juhudi za kimataifa katika kuhamasisha dunia kuhusu Ebola
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Marekani kusaidia kupambana na Ebola
Marekani imesema itapeleka vifaa vya kijeshi, kusaidia kupambana na ugonjwa wa Ebola uliozuka katika nchi za Afrika Magharibi.
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Bill Gates kusaidia kupambana na Ebola
Mfuko wa Bill na Melinda Gates kuchangia dola milioni 5.7 kupambana na Ebola
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Watanzania kwenda kusaidia ebola Sierra Leone, Liberia
TANZANIA imepata madaktari watano waliojitolea kwenda nchi za Sierra Leone na Liberia kusaidia kutoa huduma ya ugonjwa wa ebola. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana, Mganga...
10 years ago
Bongo515 Oct
Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg achangia shilingi bilioni 42 kusaidia mapambano dhidi ya Ebola
Mwanzilishi na CEO wa mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg ameamua kushiriki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola, kwa kuchangia dola milioni 25 sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 42. Zuckerberg mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia dola bilioni 30, alitangaza msaada huo kupitia ukurasa wake wa Facebook. “Priscilla and I are donating $25 […]
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Wanasoka wa nje kupunguzwa England
Shirikisho la soka nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya.
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Wanasoka wanaotisha katika mitindo ya mavazi
Mpira wa miguu ni mchezo maarufu sana duniani, uliosheheni sio tu watu maarufu bali walio mahiri katika tasinia nyingine ikiwamo mitindo.
9 years ago
Bongo503 Oct
Wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani
Hii ni orodha ya wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani hii ni kwa mujibu wa ttandao wa www.sokkaa.com umetoa orodha hii ‘Most Handsome Footballers in the World’ 10. Mats Hummels-Borussi Drtmund Ni mchezaji wa kijerumani anaye chezea klabu ya Dortimnd ambaye ni nahodha wa kikosi hicho 9. Gerrard Piqué–FC Barcelona Gerrard Pique anakamata nafasi ya […]
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wanasoka wa Afrika wasambaa kila kona duniani
Ni hali ambayo imekuwa kama kawaida kwa wachezaji wa Afrika kutafuta kwenye klabu mbalimbali barani Ulaya.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JwCt-IPpSSo/VKaPb9U0ZUI/AAAAAAAG67s/xnJpR9fH15Y/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
Chama cha wanasoka Temeke chapewa msaada
![](http://2.bp.blogspot.com/-JwCt-IPpSSo/VKaPb9U0ZUI/AAAAAAAG67s/xnJpR9fH15Y/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania