Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasoka wanaotisha katika mitindo ya mavazi

Mpira wa miguu ni mchezo maarufu sana duniani, uliosheheni sio tu watu maarufu bali walio mahiri katika tasinia nyingine ikiwamo mitindo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Mwananchi

Chama cha wanasoka kitathmini nafasi yake katika usajili

Msimu wa usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na la pili umeanza rasmi baada ya kumalizika kwa msimu wa mwaka 2014/15 na tayari klabu zimeanza kuonyesha uwezo wao wa kifedha kwa kusajili wachezaji kwa donge nono.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vazi ambalo hutangazwa kuwasili kwake katika mitindo

Mpiga picha wa Nigeria ameweka picha za mavazi ya mtindo wa Yoruba kuanzia miaka ya 1970s mpaka sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

 

10 years ago

GPL

KIM KARDASHIAN, RIHANNA NA BEYONCE WALIVYOTOKELEZEA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI

Rihanna akiwa amevaa vazi la njano linalojulikana kama Guo Pei kwenye zulia jekundu.  Hapa palikuwa ni kwenye maonyesho ya mavazi yaliyojulikanakama Met Gala yaliyofanyika jijini New York, Marekani, jana.…

 

10 years ago

Michuzi

pinda katika maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na New Millenium Women Group

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga. Baadhi ya  washiriki wa maonyesho ya mavazi yaliyoandaliwa na  Umoja wa wake wa...

 

10 years ago

GPL

PINDA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YALIYOANDALIWA NA NEW MILLENIUM WOMEN GROUP

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katka picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burdani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani