Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EDGA LUNGU ASHINDA URAIS ZAMBIA

Edga Lungu. MGOMBEA wa Chama cha Patriotic Front, Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia. Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa. Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema. Wagombea wote wawili walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira. Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais Michael Sata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Lungu ashinda uchaguzi wa urais Zambia

Edga lungu kulia aliyeshinda uchaguzi wa urasi nchini Zambia
Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa.
Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.Raia wa zambia wakati wa kampeni za ucvhaguzi wa urais
Wote walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira.
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lungu ndiye mgombea wa PF Zambia

Waziri wa Ulinzi Edgar Lungu ndiye atakeyewania wadhfa wa Urais kupitia tiketi ya chama cha Patriotic Front nchini zambia

 

10 years ago

TheCitizen

Zambia’s Lungu ‘to remain in office’

Zambia interim leader Guy Scott has rescinded his decision of removing Defence minister Edgar Lungu as the governing party’s Secretary-General, state radio has reporte

 

10 years ago

BBC

Lungu wins Zambia presidential poll

Defence Minister Edgar Lungu wins Zambia's presidential election for the governing Patriotic Front with 48.3% of the vote.

 

9 years ago

Zambia Daily Mail

Lungu stresses Zambia, Tanzania ties


Zambia Daily Mail
Lungu stresses Zambia, Tanzania ties
Zambia Daily Mail
PRESIDENT Lungu says he will work with Tanzanian President John Magufuli to strengthen the relations between the two countries. And President Lungu was yesterday among eight African heads of state at the inauguration of Dr Magufuli as fifth Tanzanian ...
'Pursue Stronger Zambia - Tanzania Ties'AllAfrica.com
Home Politics President Lungu was not Booed by Miners as reported by the...Lusaka Times
Zambia can learn from...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Edgar Lungu kutibiwa nje ya Zambia

Raisi mteule wa Zambia Edgar Lungu ,ameshauriwa na madaktari kwenda kufanyiwa matibabu na wataalamu wa afya nje ya nchi yake.

 

10 years ago

GPL

JK AANDALIWA DHIFA NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA, MZEE KENNETH KAUNDA JIJINI LUSAKA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli ashinda uchaguzi wa urais Tanzania

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CCM John Pombe Magufuli ndiye rais mteule wa taifa la tanzania baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliokamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani