Lungu ndiye mgombea wa PF Zambia
Waziri wa Ulinzi Edgar Lungu ndiye atakeyewania wadhfa wa Urais kupitia tiketi ya chama cha Patriotic Front nchini zambia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen06 Nov
Zambia’s Lungu ‘to remain in office’
Zambia interim leader Guy Scott has rescinded his decision of removing Defence minister Edgar Lungu as the governing party’s Secretary-General, state radio has reporte
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnVWfS41a-YWDLfs6Gw*HWCyXJXrhl8aufqWZn55fa99xtep3F0LxToZnbQaNOi9Y0uUnDWptMUnTWOgok2wWjaA/LUNGU.jpg)
EDGA LUNGU ASHINDA URAIS ZAMBIA
Edga Lungu. MGOMBEA wa Chama cha Patriotic Front, Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa. Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.
Wagombea wote wawili walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira. Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais Michael Sata...
10 years ago
Vijimambo25 Jan
Lungu ashinda uchaguzi wa urais Zambia
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/20/150120073313_zambia_uchaguzi_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa.
Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/18/150118134528_zambia_640x360_bbc.jpg)
Wote walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira.
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80502000/jpg/_80502276_bc30d2ed-0fbf-4292-873c-934f4a505215.jpg)
Lungu wins Zambia presidential poll
Defence Minister Edgar Lungu wins Zambia's presidential election for the governing Patriotic Front with 48.3% of the vote.
9 years ago
Zambia Daily Mail06 Nov
Lungu stresses Zambia, Tanzania ties
Zambia Daily Mail
Zambia Daily Mail
PRESIDENT Lungu says he will work with Tanzanian President John Magufuli to strengthen the relations between the two countries. And President Lungu was yesterday among eight African heads of state at the inauguration of Dr Magufuli as fifth Tanzanian ...
'Pursue Stronger Zambia - Tanzania Ties'AllAfrica.com
Home Politics President Lungu was not Booed by Miners as reported by the...Lusaka Times
Zambia can learn from...
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Rais Edgar Lungu kutibiwa nje ya Zambia
Raisi mteule wa Zambia Edgar Lungu ,ameshauriwa na madaktari kwenda kufanyiwa matibabu na wataalamu wa afya nje ya nchi yake.
10 years ago
GPLJK AANDALIWA DHIFA NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA, MZEE KENNETH KAUNDA JIJINI LUSAKA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni. Â Â Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye...
10 years ago
VijimamboRais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Lowassa ndiye mgombea wa CHADEMA
Chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania kimetangaza kuwa aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa atakuwa mgombea wake wa urais wakati wa uchaguzi wa mwezi Octoba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania