EFM yazindua mziki mnene
NA ASIFIWE GEORGE
KITUO cha Utangazaji cha EFM kimezindua mradi wake wa ‘Mziki Mnene’ utakaokuwa ukifanyika katika bar mbalimbali kuanzia Septemba 5 mwaka huu.
Meneja mkuu wa mawasiliano wa kituo hicho, Denis Ssebo, alisema wamepanua wigo kwa wasikilizaji wa redio hiyo na sasa watawafikia watu wengi kwa kuwa bar 12 zitatembelewa.
Alitaja maeneo watakayofika ni Kibaha, Mlandizi, Mkuranga, Bagamoyo, Kisarawe, Kigamboni na mengine mengi ambayo wanaamini wana mashabiki wakutosha.
Alisema baada...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MZIKI MNENE WA EFM WAPAGAISHA UKONGA

Idadi ya watu wasio hesabika walijitokeza kwa wingi ndani ukumbi huo. Tuliongea na mmoja wa waandaji wa tamasha hili Dickson Ponella,ambae alisema kuwa mziki mnene utazunguka Dar Es Salaam nzima na viunga vyake,kama ratiba inavyo elekeza.
“Haina haja ya watu kugombania kuingia...
11 years ago
GPLMZIKI MNENE WA EFM WATIKISA BAGAMOYO
Mashabiki wa kituo kipya cha EFM 93.7 Radio wakicheza mziki mnene ndani ya Bagamoyo. Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.…
10 years ago
Michuzi
TIMU YA EFM YAIBUKA NA USHINDI WA BAO 1-0 NA BAADAE MZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA MKOANI PWANI




10 years ago
Michuzi
MZIKI MNENE KIGAMBONI



MUZIKI mnene Bar kwa Bar wiki iliyopita ulivuka kivuko na kuhamia Kigamboni,wakazi wa eneo hilo ambao ni wasikilizaji wa 93.7 EFM walipata burudani ya aina yake kutoka kwa timu nzima ya EFM redio.
Burudani ilianza na kabumbu...
11 years ago
GPLEFM 93.7 KUFANYA TAMASHA LA MUZIKI MNENE KUWASHUKURU MASHABIKI
Mtangazaji wa EFM, Denis Sebo akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Msaidizi ofisa mahusiano, Lydia moyo (kushoto) katikati ni Meneja mahusiano wa EFM, Kanky Mwaigomole na Mhariri mkuu, Samira Kianga.…
11 years ago
Michuzi
EFM kukutana na wasikilizaji wake kupitia Tamasha la Muziki Mnene

10 years ago
MichuziEFM WAANDAA TAMASHA LA PILI LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR
10 years ago
Michuzi
libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha


10 years ago
Michuzi
Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran



Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania