Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZIKI MNENE KIGAMBONI

Wachezaji wa timu ya EFM na timu ya Magogoni Veteran katika uwanja wa shule ya msingi Ufukoni.Wakazi wa kigamboni wakishuhudia mechi kati ya EFM na Magogoni Veteran kigamboni.Mamia ya watu waliojitokeza kushabikia kabumbu kati ya 93.7 EFM na Magogoni Veteran Kigamboni.
MUZIKI mnene Bar kwa Bar wiki iliyopita ulivuka kivuko na kuhamia Kigamboni,wakazi wa eneo hilo ambao ni wasikilizaji wa 93.7 EFM walipata burudani ya aina yake kutoka kwa timu nzima ya EFM redio.
 Burudani ilianza na kabumbu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

EFM yazindua mziki mnene

Efm-logo-jpg-1024x542NA ASIFIWE GEORGE

KITUO cha Utangazaji cha EFM kimezindua mradi wake wa ‘Mziki Mnene’ utakaokuwa ukifanyika katika bar mbalimbali kuanzia Septemba 5 mwaka huu.

Meneja mkuu wa mawasiliano wa kituo hicho, Denis Ssebo, alisema wamepanua wigo kwa wasikilizaji wa redio hiyo na sasa watawafikia watu wengi kwa kuwa bar 12 zitatembelewa.

Alitaja maeneo watakayofika ni Kibaha, Mlandizi, Mkuranga, Bagamoyo, Kisarawe, Kigamboni na mengine mengi ambayo wanaamini wana mashabiki wakutosha.

Alisema baada...

 

10 years ago

GPL

MZIKI MNENE WA EFM WATIKISA BAGAMOYO

Mashabiki wa kituo kipya cha EFM 93.7 Radio wakicheza mziki mnene ndani ya Bagamoyo. Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.…

 

10 years ago

Michuzi

MZIKI MNENE WA EFM WAPAGAISHA UKONGA

Jumamosi ya tarehe 4 Mwezi wa Oktoba 2014,wakazi wa ukonga walipata fursa ya kupagaishwa na burudani ya mziki mnene inayoandaliwa na kituo cha redio cha EFM kwenye ukumbi wa Ukonga Reaction Centre.
Idadi ya watu wasio hesabika walijitokeza kwa wingi ndani ukumbi huo. Tuliongea na mmoja wa waandaji wa tamasha hili Dickson Ponella,ambae alisema kuwa mziki mnene utazunguka Dar Es Salaam nzima na viunga vyake,kama ratiba inavyo elekeza.
“Haina haja ya watu kugombania kuingia...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA EFM YAIBUKA NA USHINDI WA BAO 1-0 NA BAADAE MZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA MKOANI PWANI

 Wananchi wakishuhudia mchezo ukiendelea ikiwa umedhaminiwa na Mtandao wa simu wa Smart katika viwanja vya Mkuranga mkoani pwani baadha ya mpira kumalizika ndipo Mkizi Mnene Bar  kwa Bar ulipoaaza kuchezwa mkoani Pwani mwishoni mwa wiki.  Wachezaji wa timu ya EFM na Mkuranga Veteran wakiendelea kusakata kabumbu ndani ya viwanga vya Mkuranga Mkoani Pwani.Picha ya pamoja ya Timu  ya Mpira wa miguu ya EFM  na Mkuranga Veteran iliyo cheza katika viwanja vya Mkuranga mkoani Pwani, mashindano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni

pix 1

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni  jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.

pix 2

Mtendaji  Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akikata utepe kufungua rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni. Kiota hicho kinaitwa  Fursat Dhahabiyya.
 Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema Kigamboni cha Fursat Dhahabiyya.

  Mbunge we jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile akifunguaRasmi (Wa Pili Kulia)kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya. Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho

 

10 years ago

GPL

MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI‏

Wananchi wakitazama kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari.  Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)… ...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari mbele) akizungumza na baadhi ya kinamama wakazi wa Mji wa Kigamboni waliojitokeza kwa wingi kwenye Kituo cha Afya Kigamboni kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa ya Mlango wa Kizazi kwa kina mama inayoendelea kutolewa leo kituoni hapo.   Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akimuuliza Muuguzi wa zamu namna zoezi hilo la Utoaji wa Huduma ya Uchunguzi na Tiba ya Kansa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani