ELIMU DHIDI YA KIPINDUPINDU
![](http://img.youtube.com/vi/N4yiFMmE330/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV27 Nov
Vita Dhidi Ya Kipindupindu  Watumishi, wakazi wa Bukoba wafanya usafi
Kauli ya Rais John Magufuli ya kufanya usafi na kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu imeanza kuungwa mkono na watumishi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambao wameungana na wakazi wa manispaa hiyo kufanya usafi na kusimamia zoezi hilo.
Kitendo cha watumishi hao kinakwenda sambamba na kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu ambao hadi sasa umekwishapoteza maisha ya watu wawili katika manispaa hiyo.
Moja ya maeneo ya biashara ambayo yameamuriwa kufungwa ,kutokana na eneo hilo kukithiri kwa...
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar atoa tahadhari juu ya ugonjwa wa KIPINDUPINDU.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake Wizara ya Afya juu tahadhari ya ukonjwa wa Kipindupindu hivyo amewashauri wananchi kununua chakula kilicho hifadhiwa vizuri ama chakula kimoto na kujiepusha kutumia juice zinazotengenezwa kienyeji. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar
[ZANZIBAR]....
9 years ago
VijimamboKUFUATIA KURIPOTIWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU KUINGIA MANISPAA YA DODOMA WANANCHI BADO HAWAJAWA NA ELIMU JINSI YA KUKABILIANA NAO
wakati ugonjwa wa kipindupindu ukiwa unazidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam huko mkoani dodoma nako inasadikika kwamba ugonjwa huo umekwisha gonga hodi huku wakazi wa maeneo mbalimbali wakionekana kusambasa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
11 years ago
Habarileo28 Jun
Ataka elimu dhidi ya ukatili kuimarishwa
MWENYEKITI wa Umoja wa Wawakilishi wanawake (UWAWAZA) Mgeni Hassan Juma amezitaka asasi za kiraia kufanya kazi ya kutoa elimu kwa wananchi katika masuala mbalimbali ikiwemo ya vitendo vya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Elimu dhidi ya unyanyasaji Mbozi yaonyesha matunda
UNYANYASAJI wa kijinsia unapingwa na mataifa mbalimbali duniani. Hapa nchini kuna mashirika ya kutetea haki za binadamu yanayohakikisha mwanamke analindwa na kupewa haki zake za msingi ili asikandamizwe na mwanaume....
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Serikali, UN, vyombo vya habari kutoa elimu dhidi ya Ebola
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 jijini Dar es Salaam mkutano huo uliowakutanisha wamiliki wa Redio za kijamii kuwaelimsha Radio za Kijamii za...
10 years ago
Mwananchi08 May
Elimu ya afya ya uzazi inaepusha wanafunzi dhidi ya tamaa mbaya
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/0011.jpg)
SERIKALI, UN, VYOMBO VYA HABARI KUTOA ELIMU DHIDI YA EBOLA