Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ndiyo silaha ya mwanamke

“Bidii, kujiamini ndiyo silaha pekee, mimi sikuogopa kukimbilia fursa nilikuwa na ujasiri kwani ukweli sikujilipia mwenyewe elimu ya chuo kikuu nchini Uingereza, bali nilipata ufadhili. Namshukuru mama yangu alinifunza kujiamini kwani hata yeye alikuwa akijiamini sana ndiyo maana alitulea bila kutetereka,”. Ndivyo anavyoanza kusema Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Multi Choice Tanzania, Barbara Kambogi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAULI NDIYO SILAHA PENZINI

KARIBUNI kwa mara nyingine katika safu yetu maridhawa ya All About Love. Kwa mtu anayejali, lazima atakuwa akipata vitu vinavyoweza kumsaidia katika maisha yake ya kimapenzi anayoishi.Tunajua changamoto nyingi zilizopo katika mambo yetu haya ya uhusiano. Mapenzi, pamoja na utamu wake, lakini hakuna kitu hatari kama hiki katika maisha kinachoweza kukuharibia ndani ya muda mchache kuliko unavyofikiri. Watu wanamwagiana maji ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo silaha ya mjasiriamali katika kufikia mafanikio

Wahenga walisema: “Maisha ni kuona mbele.” Huu ni usemi unaompa mjasiriamali matumaini ya kusonga mbele pasipo kutumia muda mwingi kuwaza yale aliyokwishafanya.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAMKE ATTITUDE HABARI NDIYO HII

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. 
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni moja...

 

9 years ago

Mwananchi

MWANAMKE: Ujasiri katika uamuzi ndiyo umenifikisha hapa

Katika tamaduni za kimagharibi mtoto ana uhuru wa kuchagua afanye nini au ajikite kwenye taaluma gani ambayo anaona inafaa au kumvutia.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu bora; silaha ya kupambana na adui umaskini

Mwanahabari mkongwe, Othman Miraj anasema umaskini uliokithiri nchini ni suala lililogubikwa na mambo kadhaa yaliyosongamana.

 

10 years ago

GPL

WAHITIMU KIDATO CHA SITA JANGWANI WAASWA KUTUMIA ELIMU KAMA SILAHA YA UKOMBOZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita mwishoni mwa wiki wakati alipokuwa mgeni rasmi katika wa mahafali hayo shuleni Jangwani sekondari iliyopo manispaa ya Ilala Jijini Dare s salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola (wa katikati) na baadhi wa viongozi wa shule wakielekea eneo la mahafali ya kidato cha sita ya shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ndiyo kila kitu, tusiogope kurudi shule

Ujasiriamali ni sifa ya asili aliyonayo kila mwanamke duniani. Lakini ili kuwa na tija hata ufanisi zaidi katika kazi hiyo, elimu ya darasani inahitajika.

 

10 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu

Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Hii ndiyo sababu ya kuwa na sera mpya ya elimu

>Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani