Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE: Ujasiri katika uamuzi ndiyo umenifikisha hapa

Katika tamaduni za kimagharibi mtoto ana uhuru wa kuchagua afanye nini au ajikite kwenye taaluma gani ambayo anaona inafaa au kumvutia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mbinu 15 za kupata ujasiri na kufanikiwa katika maisha

Success

1.Kutoshindana na waliofanikiwa.

Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.

Kuwapa waliofanikiwa heshima yao kutamfanya mtu apate msaada na hatimaye afikie kiwango cha juu bila ya kupata tabu nyingi.

Mfano, mtu asishindane na mwajiri wake ili kuonekana anajua sana; asishindane na tajiri katika matumizi hususani mazingira ya kijamii kama baa, misiba n.k. Waliofanikiwa hutafsiri kitendo cha kushindana kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu ndiyo silaha ya mwanamke

“Bidii, kujiamini ndiyo silaha pekee, mimi sikuogopa kukimbilia fursa nilikuwa na ujasiri kwani ukweli sikujilipia mwenyewe elimu ya chuo kikuu nchini Uingereza, bali nilipata ufadhili. Namshukuru mama yangu alinifunza kujiamini kwani hata yeye alikuwa akijiamini sana ndiyo maana alitulea bila kutetereka,”. Ndivyo anavyoanza kusema Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Multi Choice Tanzania, Barbara Kambogi.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAMKE ATTITUDE HABARI NDIYO HII

Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. 
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni moja...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPA NDIYO NYUMBANI PA WASAFI

Diamond Platnumz Leo kupitia Instagram amekuwa akipost Picha za Mjengo wake katika pande tofauti za nje na ndani. Hizi ni Picha za mjengo huo....Jitiririshe hapa chini ujionee Ikulu hiyo ya Wasafi iliyopo maeneo ya Tageta







 

10 years ago

Vijimambo

HAPA NDIYO ALIVYOJIWEKA LINAH FULL MALAVIDAVE


"Slow down! Y must u rush? don't rush into something u r not ready for. Be patient, at the right time u will achieve it.Don't follow wat others are doin , don't let others pressure u and never let false words deceive u. YOUR ending is greater......" Linah

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA MWANAMKE KUCHEPUKA HIZI HAPA!

Wapenzi wasomaji kumekuwa na manenomaneno kwamba, baadhi ya wanawake wamekuwa na mwanaume zaidi ya mmoja, lakini nimefanya utafiti na kubaini wanaosababisha tabia hiyo ya michepuko ni wanaume ambao wameingia nao kwenye uhusiano. KWA NINI NASEMA HIVI?
Utakuta mwanamke alimpenda mwanaume fulani kwa sababu ya kufuata huduma na jinsi anavyomjali na kumheshimu ikiwa ni pamoja na kumjaza katika nafsi yake, pengine ndiyo anavyopenda au...

 

10 years ago

Mtanzania

Flora Mvungi: Umaarufu umenifikisha klabu

NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo nchini, Flora Mvungi, ameweka wazi kwamba hasingefika kwenye kumbi za starehe kama asingekuwa maarufu.
Flora alisema kutokana na umaarufu wake alioupata kupitia sanaa ya uigizaji, alijikuta akilazimika kuzijua klabu za usiku tofauti na alivyokuwa akidhani kwamba angeweza kuwa maarufu bila kufika katika klabu hizo.
‘Nashukuru ustaa umenisaidia, kwani bila ya hivyo ningekuwa mama wa nyumbani ama kazi nyingine, lakini fani niliyoichagua imeniwezesha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Huyu hapa ndiyo Zinedine Zidane mpya kwa mujibu wa Kocha wa Barcelona, Luis Enrique

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi  Roberto

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi Roberto.

Na Rabi Hume

Kocha wa klabu ya Barcelona, Mhispania Luis Enrique amemtaja kiungo anayechupukia katika kikosi chake Sergi Roberto,23 kama Zinedine Zidane mpya kutokana na aina ya uchezaji wake.

Enrique amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Hispania maarufu kama Primera Division uliyoikutanisha timu yake ya Barcelona na klabu ya Getafe na Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila, magoli yakifungwa na Luis Suarez na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani