Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbinu 15 za kupata ujasiri na kufanikiwa katika maisha

Success

1.Kutoshindana na waliofanikiwa.

Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.

Kuwapa waliofanikiwa heshima yao kutamfanya mtu apate msaada na hatimaye afikie kiwango cha juu bila ya kupata tabu nyingi.

Mfano, mtu asishindane na mwajiri wake ili kuonekana anajua sana; asishindane na tajiri katika matumizi hususani mazingira ya kijamii kama baa, misiba n.k. Waliofanikiwa hutafsiri kitendo cha kushindana kama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ujasiri ulivyotengeneza maisha ya ushindi kwa mama wa nyumbani

sere5

Meneja Mauzo  wa Serengeti Breweries Ltd  Mkoa  wa Morogoro Bw.Moses Bartazary (mwenye kofia) akikabidhi Funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa  mshindi  wa kwanza wa shindano  la Tutoke  na  Serengeti  Bi Rukia Almas ambaye ni mkazi wa Kihonda na mfanyakazi  katika Bar ya  Kambarage iliyopo manispaa  ya  Morogoro.

Kwa miaka kadhaa, Rukia Almasi, mkazi wa Morogoro amekuwa akizongwa na uvumi kwamba kushiriki promosheni za bahati nasibu ni kupoteza muda, na kwamba ushindi...

 

9 years ago

Mwananchi

MWANAMKE: Ujasiri katika uamuzi ndiyo umenifikisha hapa

Katika tamaduni za kimagharibi mtoto ana uhuru wa kuchagua afanye nini au ajikite kwenye taaluma gani ambayo anaona inafaa au kumvutia.

 

10 years ago

Bongo5

Unataka kufanikiwa? Hakuna njia ya mkato katika mafanikio

Je huu ni ukweli kwamba hakuna njia ya mkato kuelekea mafanikio? Inawezekana unasema ‘Awali hujui mambo yanayoendelea na utabakia hivyo hivyo’. Kuna kitu nimeendelea kujifunza kwa watu matajiri wanaochipukia kwenye Forbes magazine na kwingineko. Siku chache zilizopita katika Kongamano fulani ambako Mjasiriamali wa Kenya Julian Kyula na Heshan De Silva waliongea kutokana na uzoefu na […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili

Mwanasarakasi Aleksei Goloborodko amekua akipindisha mwili wake katika muonekano wa kushangaza tangu alipokua na umri wa miaka mine.

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Taifa la Ujenzi lapokea migogoro 41 na kufanikiwa kuitafutia ufumbuzi katika kipindi cha mwaka 2015

Frank Mvungi- Maelezo
Baraza la Taifa la Ujenzi limepokea migogoro 41 na kufanikiwa kuitafutia ufumbuzi katika kipindi cha mwaka 2015 kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.
Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia majukumu ya Baraza hilo katika kutatua Migogoro inayojitokeza katika Sekta hiyo, Mhandisi Chamuriho amebainisha kuwa migogogoro...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mbinu ya kuwalaza wagonjwa wa corona kifudifudi inavyookoa maisha yao

Kwanini baadhi ya wagonjwa wanaougua Covid-19 hulazwa kifudifudi?

 

5 years ago

BBCSwahili

Daktari Li Wenliang apoteza maisha baada ya kupata maambukizi ya virusi vya corona

Li Wenliang aliwatahadharisha madaktari wenzake mwezi Desemba, lakini polisi walimwambia aache kusambaza habari za ''uzushi''

 

9 years ago

Dewji Blog

TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.

Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapewa mbinu kujikimu katika bajeti

oswaldNa Elias Msuya, Dar es Salaam
WAKATI Tanzania ikiwa imeshindwa kutekeleza Malengo ya Milenia wadau wa uchumi wametoa mbinu za kujikimu katika bajeti badala ya kutegemea nchi wahisani.
Malengo manane ya Milenia ni pamoja na suala la kuondoa umasikini na njaa, elimu ya msingi kwa wote, usawa wa jinsia, kuzuia vifo vya watoto, afya ya uzazi, kupambana na Ukimwi, malaria na magonjwa mengineyo.
Akizungumza katika mkutano kuhusu Malengo ya Milenia, Dar es Salaam jana, Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani