Unataka kufanikiwa? Hakuna njia ya mkato katika mafanikio
Je huu ni ukweli kwamba hakuna njia ya mkato kuelekea mafanikio? Inawezekana unasema ‘Awali hujui mambo yanayoendelea na utabakia hivyo hivyo’. Kuna kitu nimeendelea kujifunza kwa watu matajiri wanaochipukia kwenye Forbes magazine na kwingineko. Siku chache zilizopita katika Kongamano fulani ambako Mjasiriamali wa Kenya Julian Kyula na Heshan De Silva waliongea kutokana na uzoefu na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Sep
NANCY : Hakuna njia ya Mkato katika mafanikio
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Tuelewe hakuna njia ya mkato katika maisha
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Wachezaji wetu wa njia ya mkato!
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Mwanariadha aliyetumia njia ya mkato Marathon
10 years ago
Mwananchi29 Jun
MTAZAMO: TFF inataka mafanikio ya mkato kwa Mkwasa
10 years ago
Mwananchi02 Aug
BABIE KABAE : Njia pekee ya kufanikiwa ni kujituma
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
Mbinu 15 za kupata ujasiri na kufanikiwa katika maisha
1.Kutoshindana na waliofanikiwa.
Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.
Kuwapa waliofanikiwa heshima yao kutamfanya mtu apate msaada na hatimaye afikie kiwango cha juu bila ya kupata tabu nyingi.
Mfano, mtu asishindane na mwajiri wake ili kuonekana anajua sana; asishindane na tajiri katika matumizi hususani mazingira ya kijamii kama baa, misiba n.k. Waliofanikiwa hutafsiri kitendo cha kushindana kama...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Akiba njia muhimu kuekelea mafanikio
KATIKA maisha watu wengi huwa wanajikuta hawana pesa za kutosha kumudu matumizi yao ya kila siku na kuweka akiba, kwa maana ya kwamba kipato hakilingani na matumizi. Mara nyingi unapofikia...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili