NANCY : Hakuna njia ya Mkato katika mafanikio
Hakuna njia rahisi kufikia mafanikio Kuelekea uchaguzi mkuu, Tanzania imeshuhudia mabadiliko mbalimbali kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Hadhi ya mwanamke katika nyanja hizo zote, imeonekana wazi kupanda tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Sep
Unataka kufanikiwa? Hakuna njia ya mkato katika mafanikio
Je huu ni ukweli kwamba hakuna njia ya mkato kuelekea mafanikio? Inawezekana unasema ‘Awali hujui mambo yanayoendelea na utabakia hivyo hivyo’. Kuna kitu nimeendelea kujifunza kwa watu matajiri wanaochipukia kwenye Forbes magazine na kwingineko. Siku chache zilizopita katika Kongamano fulani ambako Mjasiriamali wa Kenya Julian Kyula na Heshan De Silva waliongea kutokana na uzoefu na […]
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Tuelewe hakuna njia ya mkato katika maisha
Maisha ni safari moja ndefu yenye kila aina ya changamoto ambazo mwanadamu anakabiliana nazo.
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Wachezaji wetu wa njia ya mkato!
Hakuna mtoto wa waziri anayecheza soka, hakuna mtoto wa mwanasheria au mfanyakazi wa benki anayecheza soka. Soka inachezwa na watu wanaotoka kwenye familia ambazo hazina maisha mazuri na hilo ndiyo daraja la kuelekea maisha mazuri.
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Mwanariadha aliyetumia njia ya mkato Marathon
Mwanamume mmoja nchini Kenya amegonga vichwa vya habari nchini humo kimataifa na pia kuwa mada kwenye mitandao ya kijamii baada yake kudaiwa kutumia njia ya mkato akitaka kudai ushindi mbio za Marathon.
10 years ago
Mwananchi29 Jun
MTAZAMO: TFF inataka mafanikio ya mkato kwa Mkwasa
Hakuna mtoto wa waziri anayecheza soka, hakuna mtoto wa mwanasheria anayecheza soka. Soka inachezwa na watu wanaotoka kwenye familia ambazo hazina maisha mazuri na hilo ndiyo daraja la kuelekea maisha mazuri.
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Akiba njia muhimu kuekelea mafanikio
KATIKA maisha watu wengi huwa wanajikuta hawana pesa za kutosha kumudu matumizi yao ya kila siku na kuweka akiba, kwa maana ya kwamba kipato hakilingani na matumizi. Mara nyingi unapofikia...
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Mafanikio ya JK katika sekta ya miundombinu
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu nchini zikiendelea kushika kasi kwa ajili ya maandalizi ya kumchagua rais wa Serikali ya awamu ya tano, wapo wanaoiponda na wengine kuisifia serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake hivi karibuni.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1ke4yNg1XauzJQNIUVR7sdsOJgWNhATLHu2WpGo4pS7DYsIFCWBFBk-xhjTI9DGJ4jZKra9GRXUQx5K-LwKNgD/success.jpg?width=650)
MAMBO 15 YA KUZINGATIA KATIKA KUSAKA MAFANIKIO!-2
WIKI iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, lengo ni kukutia moyo. Tambua mafanikio siyo ya wale tu, hata wewe leo hii ukiamua na ukaweka nia, maisha yako lazima yatabadilika.
Hata hivyo, siyo kazi rahisi kama unavyofikiria. Inahitaji mtu mwenye uchungu wa maisha, anayeumia kuwaona watu wenye mafanikio wanavyoyafurahia maisha. Basi, nimalizie mambo sita yaliyokuwa yamebaki kutimiza yale 15 niliyodhamiria kukupa wewe msomaji...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania