Ello yawa mpinzani wa Facebook
Mtandao wa kijamii wa Ello unapokea maombi 31,000 kila saa moja hali ambayo inaibua ushindani mkubwa kwa mtandao wa Facebook.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Nov
Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Dayna: Hakuna mpinzani wa Kanumba
NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dyana Nyange ‘Dayna’, amesema hadi sasa hakuna mwigizaji wa filamu ambaye ameweza kufikia kiwango cha marehemu Steven Kanumba.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Dayna alisema tangu kufariki kwa Kanumba, tasnia ya filamu imebadilika na kuwa ya kawaida sana.
“Hakuna aliyeweza kufikia kiwango cha Kanumba, licha ya wengi wao kujituma na kujitahidi kufanya kazi na wasanii kutoka nje ya nchi,” alisema Dayna.
Mwanadada huyo aliendelea kusema ni...
10 years ago
Mtanzania19 Oct
Lukuvi ambeza mpinzani wake
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), William Lukuvi, amembeza mpinzani wake anayegombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Patrick Sosopi, kuwa hawezi kuvaa viatu vyake.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa vijiji vya Igingilanyi, Kising’a, Matembo na Ilambilole vilivyopo Isimani.
Alisema viatu vyake havimtoshi pia hana staha ya kuwashawishi wananchi kuwaletea maendeleo na...
10 years ago
Bongo Movies31 Jan
Dayna: Hakuna mpinzani wa Kanumba
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dyana Nyange ‘Dayna’, amesema hadi sasa hakuna mwigizaji wa filamu ambaye ameweza kufikia kiwango cha marehemu Steven Kanumba.
Akizungumza na Gazeti la Mtanzania, Dayna alisema tangu kufariki kwa Kanumba, tasnia ya filamu imebadilika na kuwa ya kawaida sana.
“Hakuna aliyeweza kufikia kiwango cha Kanumba, licha ya wengi wao kujituma na kujitahidi kufanya kazi na wasanii kutoka nje ya nchi,” alisema Dayna.
Mwanadada huyo aliendelea kusema ni vizuri...
10 years ago
Mtanzania25 May
Lukuvi apata mpinzani jimboni
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
JOTO la uchaguzi limeendelea kupanda baada ya mtaalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhandisi Sebastiani Kayoyo (39) kutangaza nia ya kuwani ubunge katika
Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Jimbo la Isimani linaongozwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza nia yake juzi, Mhandisi Kayoyo alisema amepania kuhakikisha...
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Mpinzani wa Lipumba afukuzwa uanachama
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limemvua uanachama mjumbe wake kutoka Mkoa wa Shinyanga, Chifu Lutayosa Yemba.
Chifu Yemba ambaye pia alikuwa ni mpinzani wa Profesa Ibrahim Lipumba katika kuwania uenyekiti wa CUF kwenye uchaguzi uliofanyika mwaka jana, alivuliwa uanachama kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za chama pamoja na kutumia vibaya jina la mwenyekiti wa chama hicho.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho cha Baraza Kuu...
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mchezaji aliyevunja mpinzani mguu afungwa
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Mpinzani wa Obama mwaka 2012 ajiondoa