Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezaji aliyevunja mpinzani mguu afungwa

Mchezaji soka mmoja nchini Uingereza amefungwa jela mwaka mmoja kwa kosa la kumvunja mguu mchezaji wa klabu pinzani Manchester.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa

Arsene 22

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.

“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...

 

10 years ago

Mtanzania

The Game amsaka aliyevunja gari lake

The GameLOS ANGELES, Marekani

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jayceon Taylor ‘The Game’, amesema anamtafuta mtu aliyevunja vioo vya gari lake aina ya Lamborghini.

Mtandao wa TMZ umeeleza kwamba, msanii huyo alivamiwa na watu wasiojulikana na kuvunja vioo vya gari hilo likiwa limeegeshwa eneo la barabara.

Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, msanii huyo amesema anamtafuta mtu aliyehusika na tukio hilo ili akabiliane naye.

“Kama kuna mtu anamjua mhusika wa tukio hilo anijulishe, nitatoa zawadi...

 

11 years ago

Mwananchi

Seretse Khama, mpambanaji aliyevunja minyororo ya ubaguzi

Miongoni mwa wapigania Uhuru ambao Afrika haitawasahau ni Seretse Khama, aliyewahi kuwa Rais wa Botswana kuanzia mwaka 1966 hadi alipofariki kwa saratani mwaka 1980.

 

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

5 years ago

Michuzi

BHARAT JAIN, OMBAOMBA ALIYEVUNJA REKODI KWA UTAJIRI DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVNI kiasi gani cha fedha unatengeneza kwa mwaka? au mwezi? inaweza kuwa ni mamilioni ya fedha ila inashangaza kuona watu wanaoomba fedha barabarani wanatengeneza fedha kukuzidi, na inafikirisha sana juu ya nguvu waitumiayo ombaomba kuzunguka barabarani hadi kuufikia utajiri na kuvunja rekodi.
Bharat Jain (53) raia wa India anaelezwa kuwa ndiye ombaomba tajiri zaidi aliyewahi kutokea ulimwenguni, Jain anatokea Mumbai na shughuli zake za kuomba msaada huzifanya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUMDAI FIDIA ALIYEVUNJA MKATABA AU KUKIUKA MAKUBALIANO YENU

Na  Bashir  Yakub
Kawaida unapokuwa umeingia katika mkataba au makubaliano katika jambo lolote lile kunakuwa na masharti ambayo unapaswa kuyatimiza au kutimiziwa. Na hapa nazungumzia mikataba yote uwe wa kuuza mbuzi au ule wa kujenga ghorofa mia, yote ni mikataba. Masharti hayo huwa ndio makubaliano yenyewe au twaweza kusema kuwa ndio mkataba wenyewe. Kila upande unawajibika  juu ya utekelezaji wa masharti hayo. Yeyote anayefikia hatua ya kukiuka masharti hayo  au hata kukiuka sharti moja tu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani