Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EMEH ZICHUKWU AANZA KUIFUKUZIA SIMBA TENA.



Mshambuliaji Mnigeria, Emeh Godwill Izuchukwu, amesema anataka kurejea Simba na kuendelea kuichezea huku akiahidi mabeki Ligi Kuu Bara watayaona maajabu yake.
Mshambuliaji huyo wa zamani, sasa anakipiga katika timu ya daraja la pili ya Elverum FC ya nchini Norway.
Izuchukwu, raia wa Nigeria, tayari amepiga simu nchini na kuwasiliana na mmoja wa rafiki zake ambaye ni mwanasheria ambaye inaelezwa amewasiliana na viongozi wa Simba akitaka kurejea nchini.
Hata hivyo, uongozi wa Simba bado haujatoa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Aveva aanza na makundi Simba

RAIS mpya wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva, amesema kazi ya kwanza anayoanza nayo ni kuvunja makundi yaliyoibuka kipindi cha uchaguzi, ili kuunganisha nguvu za...

 

9 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba aanza nyodo

Kitendo cha Simba kuvunja mwiko wa kutoshinda mechi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa miaka minne mfululizo kimempa kiburi kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr kwani amesema timu yake itaendelea kucheza kama ilivyocheza juzi na msimu huu wataweka rekodi nyingi za maana.

 

11 years ago

GPL

tambwe aanza kazi simba, ambeza coutinho

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ameanza kujifua rasmi jana kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao lakini hapohapo akamtupia dongo kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho.
Tambwe alitua nchini juzi usiku na kuamua kuingia mzigoni moja kwa moja kujumuika na wenzake kwenye mazoezi ya gym yanayofanyika Chang’ombe, Dar es Salaam.
Baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Baba Ubaya aanza mazoezi mepesi Simba

Beki wa kushoto wa kutumainiwa wa Simba, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ ameanza mazoezi na timu yake  ingawa daktari wa timu hiyo amemzuia kucheza mechi.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Habarileo

Yanga, Simba leo tena

MIAMBA ya soka nchini Simba na Yanga leo itakuwa kwenye viwanja tofauti katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Global Publishers

Kocha Kopunovic tena Simba

KopunovicMserbia, Goran Kopunovic.

Hans Mloli,
Dar es Salaam
UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya Simba imeamua kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao, Mserbia, Goran Kopunovic.

Ishu ya kuanza mazungumzo na kocha huyo iliibuka wakati wa mchakato wa awali ulipoanza wa kumtafuta kocha msaidizi wa timu hiyo ambaye mpaka sasa bado hajapatikana baada ya kocha mkuu wa wekundu hao, Dylan Kerr kuchomoa ujio wa Mganda, Moses Basena.

Habari ikufikie kuwa Kopunovic...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kaduguda wa Simba aibuka tena

kaduguda na hati ya kiwanmja

Na Mwandishi wetu

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda,’(pichani) ameamua kuvunja ukinywa kwa kusema kuwa, Simba kwa sasa haihitaji matajiri, bali yenyewe ni tajiri kiasi cha kutosha kuweza kujiendesha.

Kwa mujibu wa Kaduguda, haoni haja ya matajiri ndani ya Simba, ambao wakikumaliza muda wao, Simba inabaki masikini huku akitamba kuwa, katika uongozi wake aliisaidia klabu hiyo kuwa na wadhamini wa kudumu kama Kilimanjaro Premium Lager na wengineo.

“Unajua...

 

11 years ago

GPL

Wambura basi tena Simba

Mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
KAMATI ya Uchaguzi ya Simba, jana Jumapili ilikutana kupitia pingamizi mbalimbali walizowekewa baadhi ya wagombea walioomba kuwania nafasi za uongozi wa klabu hiyo. Uamuzi kuhusiana na pingamizi mbalimbali utatolewa leo na kamati hiyo lakini kusalimika kwa mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani