ENEO LA HEKA 38 LENYE HATI LINAUZWA ARUSHA
UKUBWA; Heka 38 ambalo ni sawa na mita za mraba 155,000 (sqm)SEHEMU: Arusha karibu na Nduruma Road, 29 KM kutoka Arusha Mjini.BEI:Tshs. 60 Million kwa Heka.Contacts: Call, SMS or WhatsApp 0788 893364 Email: tinogobba2002@yahoo.comNBEneo linauzwa LOTE na sio kwa kugawanywa.ENEO LOTE LINA HATI MILIKI
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziShamba linauzwa Heka 18, Bagamoyo
Shamba hili LIMEPIMWA
Ukubwa: Area 70,587m2 (SQM) Approx. Heka 18.
Eneo: Kifude, Makurunge, Bagamoyo.
Umbali: Shamba lipo 17km kutoka Bagamoyo mjini kuelekea barabara ya Msata, 3km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo – Msata kuingia ndani ya shamba.
Mazao yaanayoweza kupandwa: Mananasi, Mahindi, Mihogo, Miwa, Alizeti na kadhalika…
BEI: Milioni Arubaini na Tisa (49m).
Wasiliana na 0715766555
10 years ago
MichuziEneo linauzwa Mkuranga, Dundani, Mkoa wa Pwani
Eneo lina ukubwa wa ekari 4 liko Mkuranga, Dundani, Mkoa wa Pwani. Ni karibu kabisa na barabarani. Linafaa kwa matumizi ya kituo cha mafuta au shughuli yoyote ya kibiashara, bei ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa number hii 0759085069.
10 years ago
MichuziEneo Linauzwa Kimara Mwisho, Dar es salaam
Changamkia Fursa "Ardhi Ni Mali"Eneo Linauzwa Lipo Kimara Mwisho, Mita 300 Kutoka Morogoro Road Au Stendi Ya Mabisi Ya Mwendo Kasi, Eneo Lina Ukubwa Wa Heka Moja Na Lina
Nyumba Moja Ndogo Na Restaurant Ya Makuti... Linafaa Kwa Makazi Na Biashara.
Kwa Mnunuzi Piga Simu Nambari +255 757 343333 Au 786 582078.
11 years ago
Michuzi04 Feb
11 years ago
Mwananchi25 May
Maisha ya kulea watoto na heka heka nyingine mitaani london
Moja ya mambo mazuri, makubwa yaliyofanywa na viongozi wa sasa Tanzania ni jitihada zake Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kurekebisha usafiri jijini Dar es Salaam. Siyo tu kwamba Dk Mwakyembe na wizara yake walifufua usafiri wa magari moshi jijini, bali pia wamesaidia ajira kwa mamia ya vijana.
10 years ago
VijimamboHEKA HEKA SERIKALI ZA MITAA KAHAMA CHADEMA YAWEKEWA PINGAMIZI MTAA WA IGOMELO
Hii ndiyo nyumba ambayo mgombea nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wa igomelo Augustino mabula ajambo ambola mgombea wa ccm Ramadhani Morisi amepiga ya kuwa siyo mkazi wa eneo hilo . Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema wakiwa eneo la makazi ya mgombea nafasi ya serikali za mtaa wa igomela. Mwenye kuonyesha mkono moja ya mkazi wa maeneo hayo akijalibu kuonyesha hali hali ya wajumbe wa vya hivyo ukweli wa jambo hilo. Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas Bukango alionyesha mkono juu ya...
9 years ago
MichuziHEKA HEKA ZA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA NDANI YA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR
Wananchi kutoka ndani na nje ya jiji la Dar es Salaam wakiwa katika soko Kuu la Kariako,katika maandalinzi ya Sikukuuu ya X-mass na Mwaka mpya pichani kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii mapema jana jioni.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii. Sehemu ya Umati wa watu ndani ya soko la Kariakoo katika harakati za maandalizi ya sikukuu ya Xmass na Mwaka mpya. Kila mmoja na heka heka zake za maandalizi ya Sikukuu.
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Heka heka za uchaguzi Msumbiji
Wapiga kura nchini Mozambique wanaendelea na shughuli ya kumchagua rais rais mpya na wabunge.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania