Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Enrico aeleza faida na hasara za kuwepo watayarishaji wengi wa muziki

Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa nchini, Enrico Figueiro wa studio za Sound Crafters, amezitaja faida na hasara zilizojitokeza kutokana na kuongezeka kwa watayarishaji wa muziki. Enrico amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa wasanii wamenufaika zaidi lakini muziki umeshuka kiwango. “Watayarishaji wa muziki wa sasa wengi ni vijana na hali ya computerized […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka

Mtayarishaji wa muziki wa Sound Crafters, Enrico amesema nyimbo zote zinazotoka miaka ya hivi karibuni hazina ubora sababu ambayo anadai inasababisha zisidumu. “Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea,” alisema. “Hakuna Bongo Flava ya kukaa miaka miwili,” Enrico aliambia E-Newz ya EATV Pia Enrico […]

 

10 years ago

GPL

FAIDA NA HASARA YA LIKIZO NA MUONGOZO WAKE-2

ITAKUMBUKWA kuwa mada hii tulianza nayo wiki iliyopita ambapo tulitazama baadhi ya dokezo muhimu za kuzingatia kwenye likizo, na mwisho tukakomea kwenye kifungu hiki: Mwanafunzi wangu, naamini utakuwa na swali juu ya mada hii: “Nifanye nini katika kipindi cha likizo ili nipate faida zote mbili?” Jibu liko kwenye vidokezo vitatu, KWANZA ni kwako mwanafunzi kujitambua, PILI kwa mwalimu wako na TATU kwa wazazi. Leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Faida na Hasara za majibizano katika mahusiano

Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake. Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika, hisia za kuwapo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi au ndugu zenu kuingilia uhusiano wenu kwa namna yoyote ile.

 

11 years ago

Mwananchi

Faida, hasara usajili ghali wa Man U

Wiki iliyopita, kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson alisema timu sita ikiwamo Manchester United ndiyo zenye nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England ingawa hakuitaja Liverpool.

 

11 years ago

Mwananchi

Faida na hasara za kuuza hisa wakati wa gawio

Kuanzia mwezi ujao kampuni nyingi ambazo zimeorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zitaanza kutoa taarifa zao za fedha kwa umma kupitia magazeti mbalimbali, taarifa hizo zinakuwa ni za kuanzia mwaka wa fedha ulioishia 31 Desemba 2013.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?

Muziki hauna dini, umri, jinsi, kabila wala itikadi vivyo hivyo katika sanaa ya uigizaji. Bado wengi wanajiuliza maana halisi ya muziki, lakini Kamusi Sanifu ya Kiswahili imeeleza kuwa ni muziki ni mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe.

 

9 years ago

Mwananchi

Faida na hasara za Serikali ya Magufuli kubana matumizi

Takribani mwezi mmoja baada ya Rais John  Magufuli kuingia madarakani,  mambo mengi ameyafanya yakiwamo yanayoshangaza.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu iwakumbushe vijana faida na hasara za ukoloni (2)

Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni kuwakumbusha vijana kufahamu vyema historia yao hasa kuhusu ukoloni na athari zake, ili wajipange vyema kutumia fursa zilizopo na kuendeleza jamii zao.

 

9 years ago

Bongo5

COSOTA yaalika wasanii na watayarishaji wa muziki kwenye semina ya kujadili malipo ya matumizi ya kazi zao

Muziki Pesa

Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kimewaalika wasanii wa muziki pamoja na watayarishaji katika semina ya kujadidi malipo ya matumizi ya kazi zao.
Muziki Pesa

Semina hiyo itafanyika tarehe 25 siku ya jumatano, saa 4 asubuhi katika ukumbi wa Tanzania Commission For Science and Technology (COSTECH) Kijitonyama (Sayansi) jijini Dar es salaam.

Pia kwa msanii wa muziki pamoja na watayarishaji ambayo watapenda kushiriki wanatakiwa kuthibitisha uwepo wako kwa kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwenda kwenye namba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani