Enzi ya Malkia Elizabeth ya miaka 63 !
Malkia Elizabeth wa Uingereza ametimiza miaka 63 katika enzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Malkia Elizabeth ameadhimisha miaka 89
10 years ago
BBCSwahili02 May
Malkia Elizabeth apata kitukuu chengine
9 years ago
Habarileo17 Nov
Malkia Elizabeth, Mfalme Akihito wampongeza JPM
RAIS John Magufuli ameendelea kupokea salamu za pongezi kutoka kwa viongozi mbalimbali duniani kutokana na kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari hii akiwamo Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Kodi ya faru wa msaada yamkera Malkia Elizabeth
MALKIA Elizabeth wa Uingereza na marafiki wa uhifadhi wametishia kusitisha misaada ya uhifadhi wa faru kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi kutokana na Serikali ya Tanzania kutoza kodi faru waliotolewa...
10 years ago
GPLMTANZANIA ALIYEPATA TUZO YA MALKIA ELIZABETH II ATOA TAMKO
5 years ago
CCM Blog29 Mar
JE, MALKIA ELIZABETH WA UINGEREZA AMEAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
![Je, Malkia Elizabeth wa Uingereza ameambukizwa virusi vya corona](https://media.parstoday.com/image/4bsk0a739608601hju0_800C450.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-A3o50n51saY/XqFJyfIgs1I/AAAAAAAC3wE/Qn92WuKK0mQclt7-NPNRTdXqooh5gmwVgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA AFUTA MPANGO WA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-A3o50n51saY/XqFJyfIgs1I/AAAAAAAC3wE/Qn92WuKK0mQclt7-NPNRTdXqooh5gmwVgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Kwa kawaida mtawala wa Uingereza anasherehekewa siku ya kuzaliwa mara mbili kila mwaka.
Moja ni siku yake halisi ya kuzaliwa, na nyingine ni siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa Malkia iliyowekwa na serikali.
Kutokana na hali mbaya ya maambukizi ya virusi vya Corona, malkia Elizabeth ameamua kufuta sherehe za kutoa heshima ya mizinga mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J4rW54EsyWA/VknHYluJalI/AAAAAAAIGNo/kVV72uZL9fk/s72-c/New%2BPicture.png)
MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA ATUMA SALAMU ZA PONGEZA KWA RAIS JOHN POMBE JOSEF MAGUFULI
![](http://1.bp.blogspot.com/-J4rW54EsyWA/VknHYluJalI/AAAAAAAIGNo/kVV72uZL9fk/s1600/New%2BPicture.png)
SALAMU ZA PONGEZI RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amepokea salamu za pongezi kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika salamu hizo Malkia wa Uingereza amemueleza Mhe. Rais Dkt. Magufuli kuwa “Natumaini kuwa mahusiano baina ya nchi hizi mbili ambazo ni...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
KHADIJA OMAR KOPA: Malkia wa mipasho miaka 21 Tanzania
JINA la Khadija Omar Abdallah Kopa si geni masikioni mwa wapenda burudani hususan ya miondoko ya taarabu, ambaye ana mchango mkubwa katika kubadilisha muziki huo kutoka enzi za nyuma na...