Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESCROW GUMZO LA SASA MJINI

Stori: Waandishi Wetu
WAKATI sakata la kuchukuliwa kwa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Tegeta Escrow likiendelea kuwa gumzo la sasa la mjini, sura mpya imeanza kujitokeza kwa watu zaidi wanaohusishwa na kugawiwa salio kutajwa, licha ya waliotajwa awali kuendelea kubakia katika orodha. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Kashfa hiyo iliibuliwa kwa mara ya kwanza na mbunge wa Kigoma Kusini kupitia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Simu tano 'gumzo la mjini' mwaka 2014

Tofauti na miaka mitano iliyopita, mwaka huu ulimwengu umeshuhudia uvumbuzi wa hali ya juu katika utengenezaji wa simu za kisasa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Tetesi za Ndoa ya Wema Sepetu Zawa Gumzo Mjini!

Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.

Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu...

 

11 years ago

GPL

JIDE, DOGODOGO GUMZO MJINI! DOGO ANASWA NA MKOKO WAKE

Na Musa Mateja OHOOO! Siku chache baada ya ndoa ya Legendary wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mtangazaji mahiri nchini, Gardner Gabriel Habash ‘G Habash’ kudaiwa kuvunjika, gumzo limeibuka kufuatia kunaswa kwa picha za Jide na kijana mmoja (dogodogo) aliyetajwa kwa jina la Meddy Ahmed ‘Mtoto wa Vitoto’, Risasi Jumamosi linakupa kinaga ubaga. Legendary wa Bongo Fleva, Judith...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

10 years ago

Vijimambo

NDIYO HABARI YA MJINI SASA KIROHO SAFI

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO

http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
ama jiunge na aitv mobile uone live!

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA UKUMBI WA KILIMANI MJINI DODOMA HIVI SASA

Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye Ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma tayari kwa kumsikiliza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete wawakati wowote kuanzia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo ambayo tayari yanaoneshwa moja kwa moja kupitia:
TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani