Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Escrow yakwamisha miradi

Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
SAKATA la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limechangia kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya mwaka 2014/15.
Hatua hiyo imesababisha hadi kufikia Machi mwaka huu, ni asilimia 38 tu ya miradi ndiyo iliyotekelezwa.
Hayo yalibainishwa jana na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dk. Philip Mpango, wakati akihojiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti.
Kamati hiyo iliitaka Tume ya Mipango kutoa sababu za kutotekelezeka kwa miradi huku...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Miradi mingi yakwamisha kilimo cha umwagiliaji

SERIKALI imesema kuanzishwa kwa miradi mingi na Halmashauri kumesababisha kutokamilika kwa miradi ya kilimo cha umwagiliaji. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfery Zambi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Akidi yakwamisha Bunge la Eala

Kutotimia kwa akidi ya wabunge wa Rwanda kulisimamisha kwa dakika 15 kikao cha Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kilichoanza jana jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

MASOMO YAKWAMISHA NDOA YA SHIJA

Stori: Shani Ramadhani
Msanii wa filamu, Deogratias Shija ‘Shija’ ameeleza kuwa, mpaka sana angekuwa ameshafunga ndoa ila kinachokwamisha mambo ni mchumba wake anayemalizia masomo. Msanii wa filamu, Deogratias Shija ‘Shija’. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Shija alisema anajua baadhi ya mashabiki na marafiki zake wanashangaa kuona kimya kuhusiana na suala la yeye kufunga ndoa ila akasema, wavute...

 

9 years ago

Habarileo

Teknolojia yakwamisha wachimbaji wadogo

WACHIMBAJI wadogo mkoani hapa wamesema ukosefu wa teknolojia ya uchimbaji imesababisha kuchimbachimba hovyo bila kujua kama eneo husika linaweza kuwa na madini wanayotafuta, jambo ambalo linaweza kuwa na athari ya kimazingira.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa yakwamisha shambulio la Kigaidi

Waziri wa Mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema vyombo vya usalama nchini humo vimefanikiwa kuwakamata watu wane wanaodaiwa kupanga njama za kigaidi

 

10 years ago

Mwananchi

Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu

Ziwa Victoria limetajwa kuwa kikwazo katika udhibiti wa vyakula na dawa zisizofaa kutumika kwa binadamu, likidaiwa kutumika kupitisha bidhaa haramu kwenye mipaka isiyo rasmi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabomba yakwamisha ufunguaji barabara Dar

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imesema kutokamilika kwa barabara ya Posta ya zamani hadi Kivukoni, Dar es Salaam kumekwamishwa na mabomba ya maji taka...

 

10 years ago

Mwananchi

Migogoro yakwamisha sekta ya mifugo nchini

Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk Titus Kamani amesema licha ya Tanzania kuwa na uwezo wa kunufaika na ufugaji, bado haijaweza kufanya hivyo kutokana na changamoto ya wafugaji na wakulima.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara yakwamisha ufadhili Shule ya Miono

Bagamoyo. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inadaiwa kukwamisha ufadhili wa Sh200 milioni katika Shule ya Sekondari ya Miono Bagamoyo, kwa mchepuo ya Sayansi, baada ya kompyuta zaidi ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Wakefield and Cushman ya Ubelgiji kupotea wizarani katika mazingira tata.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani