Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ethiopia, Burundi wajivunia chipukizi

Makocha wa Ethiopia na Burundi pamoja na kutolewa kwenye robo fainali ya Kombe la Chalenji bado wanajivunia viwango vilivyoonyeshwa na wachezaji wao chipukizi katika michuano hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ulanga wajivunia mafanikio

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro limejivunia kupata mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uhai wake, kwa kuongeza makusanyo ya mapato ya ndani na matumizi sahihi yaliyoharakisha maendeleo endelevu ya wananchi wa wilaya hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco wajivunia mradi wa Kinyerezi II

SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limesema ifikapo mwishoni mwa mwaka 2016 Tanzania suala la mgawo wa umeme litabaki kuwa historia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wajivunia kuwa makahaba Australia

Biashara ya ngono nchini Australia yashamiri,wafanya biashara hiyo hutumia mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram kujinadi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maliasili wajivunia kupungua kwa ujangili

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maimuna Tarishi amesema licha ya kuwepo kwa changamoto katika wizara hiyo lakini wamekuwa na mafaniko makubwa ikiwemo mapambano dhidi ya ujangili katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

 

10 years ago

Michuzi

KILOMBERO WAJIVUNIA KUONGOZA UJENZI WA MAABARA KIMKOA

 Na John Nditi MADIWANI wa baraza la halmashauri ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro  waliohitimisha  muda wao wa kukaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitano  Julai 7, mwaka huu wamesema kutokana na kushirikiano na watendaji wa halmashauri,wilaya imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo  ikiwa na  kufikia lengo la ujenzi wa maabara .
Diwani zamani wa Kata ya Kisawasawa , Hasaan Goagoa  pamoja na Hassan Kidapa wa Kata ya Chita, kwa nyakati tofauti  walisema ushirikiano baina ya madiwani bila...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAJIVUNIA KIBA KUMKUBALI PRODYUZA WAO

Msanii Shaaban Seif ‘Shebbylove’ akiwa katika pozi. Aboubakar Athuman ‘Beckatittle’…

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA WAJIVUNIA KUFIKIA MALENGO YA MILENIA 90-90-90 DHIDI YA VVU

 Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akisema jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya (hawapo pichani) wakati wa ziara katika Gereza Kuu la Arusha. ACP Dkt. Richard Mwankina akisoma taarifa ya Jeshi la Magereza kwa niaba ya Kamishna Generali wa Magereza Suleiman Mzee (hayupo pichani) kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya.   Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Leonard Subi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani