Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILOMBERO WAJIVUNIA KUONGOZA UJENZI WA MAABARA KIMKOA

 Na John Nditi MADIWANI wa baraza la halmashauri ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro  waliohitimisha  muda wao wa kukaa madarakani kwa kipindi cha miaka mitano  Julai 7, mwaka huu wamesema kutokana na kushirikiano na watendaji wa halmashauri,wilaya imepiga hatua kubwa ya kimaendeleo  ikiwa na  kufikia lengo la ujenzi wa maabara .
Diwani zamani wa Kata ya Kisawasawa , Hasaan Goagoa  pamoja na Hassan Kidapa wa Kata ya Chita, kwa nyakati tofauti  walisema ushirikiano baina ya madiwani bila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Mwananchi

JK azindua ujenzi Daraja la Kilombero

Rais Jakaya Kikwete amezindua miradi miwili mikubwa ya kiuchumi na kijamii katika Wilaya za Ulanga na Kilombero, ukiwamo ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero.

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO WAENDELEA KWA KASI

 Mafundi na wahandisi ujenzi wakiendelea na kazi ya kusuka nguzo kuu katika daraja la mto Kilombero kama walivyokutwa eneo la Kivukoni, mjini Ifakara. Daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/S China Railway 15 Group Corparation ya China na lina lenye  urefu wa mita 384  ambapo gharama yake ni Sh bilioni 56 ikiwa na kuweka lami  ya kilometa 9.142 fedha  zilizotolewa na Serikali ya Tanzania  Picha na John Nditi

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Anaoongozana nao ni pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais), Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (kushoto) na Mama Salma Kikwete (nyuma ya Rais). Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aandika historia: Aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero

k (1)

Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014. 

Historia imeandikwa Jumatano, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa Kilombero, moja ya mito mikubwa zaidi nchini, mpakani mwa...

 

10 years ago

Habarileo

DC Mpwapwa apania ujenzi wa maabara

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Antony MavundeMKUU mpya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde ameapishwa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma huku akisema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha ujenzi wa maabara unakamilika kwa wakati.

 

10 years ago

Habarileo

RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo.MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80

WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani