Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ethiopia:Jamii ya Mursi kuporwa ardhi?

Jamii ya Mursi yadai inalazimishwa kuondoka kupisha ardhi kwa ajili ya kilimo cha biashara

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKANUSHA KUPORWA ARDHI YA WANANCHI NA VIONGOZI WA UMMA

Na Munir Shemweta, WANMM
Serikali imekanusha taarifa ya kuporwa ardhi ya wananchi na viongozi wa umma kilichokuwa kiwanja NA 11 Eneo la Ununio katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Akikanusha kuporwa kwa eneo hilo leo jijini Dar es Salaam mbele wa waandishi wa Habari, Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo alisema taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kuporwa kwa eneo hilo siyo za kweli...

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ATEMBELEA CHUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHOGO NA KUFANYA MKUTANO NA WAKIMBIZI RAIA WANAOLALAMIKIA KUPORWA ARDHI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo ,Kamishna Msaidizi,Kennedy Komba(kulia) wakati wa ukaguzi wa mabweni yanayotumiwa na wanafunzi wa chuo hicho kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga,leo.Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia),Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe (watatu kulia),Mbunge wa Handeni Vijijini,Mboni ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Anusurika kuporwa bodaboda

DEREVA wa pikipiki, Selemani Willa (30), mkazi wa Kibaoni, Wilaya ya Kisarawe amenusurika kuporwa pikipiki na watu waliomkodi baada ya kumshambulia kwa nondo kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washikiliwa na polisi baada ya kuporwa

JESHI la Polisi linawashikilia wafanyakazi wa Kiwanda cha Mtava kutokana na kudaiwa kula njama na kuhusika na uporaji wa sh milioni 5.9 uliotokea katika barabara ya Shaurimoyo na Nyerere jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Daladala 1,800 kuporwa tonge

Meneja Uendeshaji wa Dart, Peter MunuoDALADALA 1,800 zinazofanya safari zake kati ya Kimara na Kivukoni, zinatarajiwa kuondolewa katika barabara hiyo yenye wateja wengi, baada ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (Dart).

 

11 years ago

GPL

BATULI AHOFIA KUPORWA BWANA

MCHEZA sinema mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Yobnesh Yusuf 'Batuli' akifunguka mambo mbalimbali alipolonga na wanahabari wa Global Publishers Ltd.

 

11 years ago

Michuzi

DEREVA AJERUHIWA NA KUPORWA GARI LA MAFUTA

Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. (Picha na John Gagarini,Globu ya Jamii,Pwani)

 

11 years ago

GPL

EXCLUSIVE INTERVIEW: BATULIAHOFIA KUPORWA BWANA

Makala: Shakoor Jongo na Joseph Shaluwa
NI nadra sana kumkuta akiwa amenuna. Sura yake mara zote ni yenye tabasamu, uso wake una nuru na ang’avu wakati wote. Macho yake ni kivutio kingine kwa mrembo huyu. Weka yote pembeni, kutana naye akiwa nyuma ya kamera utamkoma! Maneno ya kuanisha sifa zake ni mengi. Yobnesh Yusuph'Batuli'. Naweza kuandika ukurasa mzima, lakini hayo yatoshe kueleza ubora wa mwananadada huyu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani