Anusurika kuporwa bodaboda
DEREVA wa pikipiki, Selemani Willa (30), mkazi wa Kibaoni, Wilaya ya Kisarawe amenusurika kuporwa pikipiki na watu waliomkodi baada ya kumshambulia kwa nondo kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 May
Jaji anusurika vurugu za bodaboda
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga, Kasukulo Sambo juzi alinusurika katika mapambano yaliyoibuka eneo la Soko Kuu mjini hapa mkoani kati ya askari polisi na madereva wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama Bajaj, baada ya madereva hao kugoma na kufunga barabara kwa kulala kifudifudi.
10 years ago
GPLANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA BODABODA
10 years ago
GPLDEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
11 years ago
Habarileo06 May
Daladala 1,800 kuporwa tonge
DALADALA 1,800 zinazofanya safari zake kati ya Kimara na Kivukoni, zinatarajiwa kuondolewa katika barabara hiyo yenye wateja wengi, baada ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (Dart).
11 years ago
GPL02 Apr
BATULI AHOFIA KUPORWA BWANA
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Washikiliwa na polisi baada ya kuporwa
JESHI la Polisi linawashikilia wafanyakazi wa Kiwanda cha Mtava kutokana na kudaiwa kula njama na kuhusika na uporaji wa sh milioni 5.9 uliotokea katika barabara ya Shaurimoyo na Nyerere jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HinRCa5zE2KDfH*8qimIlSx3Z829xiXrx*cC6-g0QWjKGPc2RYz8ybHtGYbHX7MD7fuiiu8wvKPeC3EKF70pDJv/batuli.jpg?width=650)
EXCLUSIVE INTERVIEW: BATULIAHOFIA KUPORWA BWANA
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ethiopia:Jamii ya Mursi kuporwa ardhi?