ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA BODABODA
Polisi akizungumza jambo katikati ya mashuhuda wa ajali hiyo. Kundi la watu likiwa limemzunguka mwanamke aliyegongwa na bodaboda (haonekani). Kushoto (mwenye bodaboda akiwa na shati jeupe) ni mtu aliyemgonga mwanamke huyo. Na Gabriel Ng’osha/GPL  MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika katika ajali  baada ya kugongwa na bodaboda (pikipiki) maeneo ya Ubungo mnamo saa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Gilla anusurika kufa maji
Gilla akiogelea
…akiokolewa baada ya kuzidiwa na maji.
…akipatiwa huduma ya kwanza
Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amejikuta akinusurika kifo wakati alipokuwa akiogelea kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar baada ya maji kumzidi kiwango na kuokolewa na wasamaria wema juzi Alhamisi wakati watu wakiwa katika harakati za kuusubiria Mwaka Mpya.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, awali msanii huyo ambaye alifika mahali hapo mida ya jioni aliamua kutulia kwenye viti...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64pnBfKvv*NUZxBls2h*sVAZXOAa7Fwlvwozic*JXuAVF7qiYrRchQKtaLw4M8-Pg5IuNJ7kqWc3hNuXILNaizoN/1.jpg?width=650)
AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA COASTER MOROGORO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIF7nj7T40MA4zRKCEYvIwlltgSUhKpOF-hErwovEMkk-IR7MEiMKzs66R6rJ*BnZ6lmBiQ3B1ErCxlk94ZU8nnU/MtotoSadamakiwaamejerehuliwamikononi.jpg?width=650)
MTOTO ANUSURIKA KUFA KWA AJALI TABATA-DAR
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Anusurika kuporwa bodaboda
DEREVA wa pikipiki, Selemani Willa (30), mkazi wa Kibaoni, Wilaya ya Kisarawe amenusurika kuporwa pikipiki na watu waliomkodi baada ya kumshambulia kwa nondo kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ...
5 years ago
CCM BlogWANAFUZI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI
“Chanzo cha ajali iliyoua wanafunzi watano ni mwendo kasi wa Dereva wa Land Cruiser, hakujali mvua na utelezi, Gari likamshinda na kuwagonga Watoto pembezoni mwa Barabara wakadondokea mtaroni, watatu...
10 years ago
Habarileo11 May
Jaji anusurika vurugu za bodaboda
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga, Kasukulo Sambo juzi alinusurika katika mapambano yaliyoibuka eneo la Soko Kuu mjini hapa mkoani kati ya askari polisi na madereva wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama Bajaj, baada ya madereva hao kugoma na kufunga barabara kwa kulala kifudifudi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXw2yC3sq0IIR00Ad6ZnkHlC8PYv5WLR*gP2FpZbyQ09GfZG3PBDgZrEZjIQDzcCFjjicRy45ERx3cSNg0w6-GUT/kamandadiwanathuman.jpg)
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NDILiAzzLEWencYSgePo22Av0ROGpXPi9yDJSTeRku*g*mVMJzHvTBeq-ryfiyn8tr6Ait4W6uX6kER1ng917Jj-75tzl80Z/4.jpg?width=650)