Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji anusurika vurugu za bodaboda

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Sumbawanga, Kasukulo Sambo juzi alinusurika katika mapambano yaliyoibuka eneo la Soko Kuu mjini hapa mkoani kati ya askari polisi na madereva wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama Bajaj, baada ya madereva hao kugoma na kufunga barabara kwa kulala kifudifudi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Anusurika kuporwa bodaboda

DEREVA wa pikipiki, Selemani Willa (30), mkazi wa Kibaoni, Wilaya ya Kisarawe amenusurika kuporwa pikipiki na watu waliomkodi baada ya kumshambulia kwa nondo kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ...

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA BODABODA

Polisi akizungumza jambo katikati ya mashuhuda wa ajali hiyo. Kundi la watu likiwa limemzunguka mwanamke aliyegongwa na bodaboda (haonekani).  Kushoto (mwenye bodaboda akiwa na shati jeupe) ni mtu aliyemgonga mwanamke huyo. Na Gabriel Ng’osha/GPL  MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika katika ajali  baada ya kugongwa  na bodaboda  (pikipiki) maeneo ya Ubungo mnamo saa… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndugai anusurika kipigo vurugu za vijana Kongwa

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amenusurika kujeruhiwa na kundi la vijana waliokuwa wakipinga ongezeko la ushuru wa mazao na kuvamia ukumbi wa mkutano wa Kilimo uliopo Kibaigwa, wilayani Kongwa.

 

10 years ago

GPL

DEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI

Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya gari ndogo na mwendesha bodaboda. Pikipiki ikiwa imelazwa pembeni ya barabara.…

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda 37 kortini kwa vurugu

WAENDESHA bodaboda 37, juzi walifikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Mbeya mjini wakituhumiwa kufanya vurugu asubuhi ya siku hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani