Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ETI KUOLEWA/KUOA RAHA, NANI KAKUDANGANYA?

Mpenzi msomaji wangu, ukijaribu kuchunguza utabaini kuwa, wengi sasa hivi wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo tofauti; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Upiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEWE SIYO MZURI? NANI KAKUDANGANYA!

BINADAMU tumeumbwa kwa namna tofauti sana, ingawa kibaolojia, wote tuko sawa, bila kujali kama ni Wahindi, Waarabu, Wazungu, Waafrika, Wachina na makabila yote, siyo warefu, wafupi, wembamba wala wanene. Tunatofautiana akili, uwezo wa kuelewa, uwezo wa kukabili changamoto na hata jinsi ya kuishi kwenye jamii inayotuzunguka. Kuna watu wengine hawaamini kama wao wako vile walivyo kwa sababu yao wenyewe, bali wanamsingizia Mungu....

 

10 years ago

Bongo5

China: Kujiunga chuo, kujifunza udereva, ukitaka kuoa au kuolewa sharti uchangie damu

Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji. Kutokana na hali hiyo mji wa Baoji nchini China uko kwenye harakati za uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa mtindo wa kipekee , kampeni ambayo […]

 

10 years ago

GPL

HAAH! LUNGI ETI ASIPOVAA KIHASARA, HASIKII RAHA

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii raha. Msanii wa filamu bongo,Lungi Mwaulanga. Akipiga stori na gazeti hili, Lungi alisema kutokana na hali ya joto ya Jiji la Dar, kuvaa nguo nyingi mwilini ni sawa na kujipa karaha hivyo hulazimika kuvaa vivazi vya kisasa zaidi. ”Najua kuna ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!

WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa...

 

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?

VITABU mbalimbali vya dini vinatufundisha umuhimu wa ndoa. Najua wengi tutakuwa tunafahamu juu ya huu mstari ambao upo kwenye Biblia; “Naye mwanamke atamuacha baba na mama yake, ataambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja.” Marafiki zangu, mstari huo una maana kubwa sana. Ndoa ina mapana yake katika maisha ya mwanadamu. Ndoa si kufuliana nguo wala si kufanya tendo la ndoa peke yake. Ndoa inahusisha vitu vingi ambavyo...

 

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?-2

Kwa moyo mkunjufu nikukaribishe mpenzi msomaji wa safu hii ya Love and Story, tunapata kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Kwa wale tulioianza mada ya ishu siyo kuoa, ila unamuoa nani kwa vigezo gani wiki iliyopita, hakika wataungana nami kwamba ili uishi usije kujutia ndoa yako, yakupasa kuchagua mke au mume sahihi.
Tunaimalizia mada hii ambapo hakika itakuwa ni funzo kwa pande zote mbili, mwanaume na...

 

10 years ago

Vijimambo

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa!

Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha yenye furaha.
Ukweli ni kwamba, kila mtu anao uhuru wa kupenda...

 

10 years ago

GPL

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa! Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani