Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAAH! LUNGI ETI ASIPOVAA KIHASARA, HASIKII RAHA

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii raha. Msanii wa filamu bongo,Lungi Mwaulanga. Akipiga stori na gazeti hili, Lungi alisema kutokana na hali ya joto ya Jiji la Dar, kuvaa nguo nyingi mwilini ni sawa na kujipa karaha hivyo hulazimika kuvaa vivazi vya kisasa zaidi. ”Najua kuna ambao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ETI KUOLEWA/KUOA RAHA, NANI KAKUDANGANYA?

Mpenzi msomaji wangu, ukijaribu kuchunguza utabaini kuwa, wengi sasa hivi wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo tofauti; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Upiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

 

9 years ago

GPL

LUNGI, FERGUSON WANASWA

Rapa Saulo John ‘Ferguson’ akiwa na  Lungi Maulanga. Issa Mnally Rapa mahiri wa bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa ya jijini Dar es Salaam Saulo John ‘Ferguson’ mwishoni mwa wiki iliyopita alinaswa na Lungi Maulanga wakiwa katika hali tete ndani ya Ukumbi wa Mango Garden. Akiwa ameongozana na mkewe aitwaye Rose Bushoke kwenye onesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta,’...

 

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

9 years ago

GPL

LUNGI AMLIPUA MASOGANGE

Gladness Mallya na Hamida Hassan MSANII wa siku nyingi kwenye anga la filamu Bongo, Lungi Maulanga amemlipua Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kwamba hajui kutumia umbo lake vizuri ndiyo maana amemtelekeza mwanaye.Akipiga stori na Ijumaa, Lungi alidai Masogange amemwacha mwanaye kwa shangazi yake huku malezi yake yakiwa duni wakati yeye akijiachia kimjini. Msanii wa siku nyingi kwenye anga la filamu Bongo, Lungi...

 

10 years ago

GPL

BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA

NA WAANDISHI WETU/Mchanganyiko NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza. Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga. “Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka...

 

11 years ago

GPL

LUNGI APATA AJALI MBAYA

MASKINI! Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari na kupata majeraha mbalimbali mwilini. Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Lungi alipata ajali hiyo maeneo ya Tegeta, jijini Dar akiwa kwenye gari lake ambapo aligongwa na lori lililokuwa limebeba mchanga na kusababisha aumie zaidi usoni na mguuni na kushonwa nyuzi tisa. “Namshukuru Mungu nimeponea chupuchupu kwani...

 

10 years ago

GPL

LUNGI AFUNGUKIA NDOA YA SIRI

Stori: Laurent Samatta/Ijumaa Wikienda
STAA wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema baada ya kufunga ndoa ya siri Novemba, mwaka jana na Jonson, Raia wa Cameroon, walidumu kwa muda mfupi kwenye ndoa na sasa wameachana.
Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati. Staa wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga. “Mimi mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani